issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,788
- 5,217
KUMBE TAYARI UNAYO JIBU LA SWALI LAKO, SASA UMELETA JUKWAANI LA KAZI GANIUna uhakika na ulichokiandika hapa Mkuu? Kwa taarifa yako basi kati ya hao Wawili hakuna Mtoto wa Mjini tena wa ' Kindakindaki ' kabisa kama Livingstone Lusinde ' Kibajaji ' na huyo Tambwe Hiza amekuja ' down town ' tunamuona na kumpokea pale Stesheni na Treni ya Bara miaka ya 90 hivi huku akiwa kavaa ' Kandambili / Malapa ' tena kayageuza.