Hidden Diamond Member Joined Jan 31, 2024 Posts 42 Reaction score 119 Feb 26, 2024 #1 Wanasimba nIjibuni hili swali unaenda na nani kama wote wakiwa bora yaani yule Okwi wa moto na Miqussone wa moto.
Wanasimba nIjibuni hili swali unaenda na nani kama wote wakiwa bora yaani yule Okwi wa moto na Miqussone wa moto.
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Feb 26, 2024 #2 Okwi? Hakuna mchezaji current mwingine wa Comparison? Kwa Okwi unaturudisha nyuma sana..! Ujue kuna Wachambuzi wengine kwa media zetu za sasa hawamjui Okwi?
Okwi? Hakuna mchezaji current mwingine wa Comparison? Kwa Okwi unaturudisha nyuma sana..! Ujue kuna Wachambuzi wengine kwa media zetu za sasa hawamjui Okwi?
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Feb 26, 2024 #3 dah pagumu sana hapa,ila Okwi naenda nae alikua na juhudi binafsi za kuibeba timu.
TUKANA UONE JF-Expert Member Joined Jan 3, 2018 Posts 2,345 Reaction score 6,970 Feb 26, 2024 #4 Makolo kwahiyo mmeona mjifariji na haka kanyuzi?🤣🤣🤣🤣
Gucci gang JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,682 Reaction score 5,277 Feb 26, 2024 #5 D TUKANA UONE said: Makolo kwahiyo mmeona mjifariji na haka kanyuzi?🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Dah yanga mlikua mnateseka sana tukicheza hii michuano nyie hampo Just imagine sahv hata hatujatoka bado kelele kibao Anyway standards zetu ni kubwa sisi tunajifariji tukiwa bado kwenye mashindano Nyinyi mlijifariji mkiwa nje ya mashindano😁
D TUKANA UONE said: Makolo kwahiyo mmeona mjifariji na haka kanyuzi?🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Dah yanga mlikua mnateseka sana tukicheza hii michuano nyie hampo Just imagine sahv hata hatujatoka bado kelele kibao Anyway standards zetu ni kubwa sisi tunajifariji tukiwa bado kwenye mashindano Nyinyi mlijifariji mkiwa nje ya mashindano😁
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Feb 26, 2024 #6 TUKANA UONE said: Makolo kwahiyo mmeona mjifariji na haka kanyuzi?🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Ahmed Ally Kachafua hali ya hewa hukoo Anadai Maji maji ilishushwa daraja na Wao, eti Ramani ya Simba ndo inayotumika...! Kama South Africa Ramani aliyoichora Mamelod inavyowaamsha Wakongwe Yanga wote Wamemshupalia Atengue Kauli.....ndo Habari ya mjini
TUKANA UONE said: Makolo kwahiyo mmeona mjifariji na haka kanyuzi?🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Ahmed Ally Kachafua hali ya hewa hukoo Anadai Maji maji ilishushwa daraja na Wao, eti Ramani ya Simba ndo inayotumika...! Kama South Africa Ramani aliyoichora Mamelod inavyowaamsha Wakongwe Yanga wote Wamemshupalia Atengue Kauli.....ndo Habari ya mjini