Kati ya Malindi na Yanga ni yupi mkubwa kimataifa?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Mkipata jibu msionge nasi kabisa kuhusu ukubwa wetu kimataifa! Kumbe Mwaka 1995 Malindi(Zanzibar) iliwahi kufikia hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Etoile du sahel na kutolewa Kwa penati 4-3, heh!

Kumbe kimataifa walishafika mbali hata zaidi ya Yanga( wazee wa Historia) walio wekwa kwenye group moja Mwaka Fulani na akina Gor Mahia na kale katimu Ka Rwanda na wakatoka hata bila pointi! Happy New Year Jamani, Msitowe Povu, kweli inauma eeh! Kati ya Malindi na Yanga Nani mkubwa kimataifa?

Screenshot_20220102-171141.jpg
 
Kunyanyua makwapa mwisho wa msimu! Halafu siku hiyo lazima nije Mjini kudadek! Tulianza na Ngao ya Jamii.... Na tunamalizia na Ubingwa wa Ligi Kuu.
Kweli kabisa mkuu misimu yote minne huwa mnafanya hivyo hivyo!
 
Mkipata jibu msionge nasi kabisa kuhusu ukubwa wetu kimataifa! Kumbe Mwaka 1995 Malindi(Zanzibar) iliwahi kufikia hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Etoile du sahel na kutolewa Kwa penati 4-3, heh!

Kumbe kimataifa walishafika mbali hata zaidi ya Yanga( wazee wa Historia) walio wekwa kwenye group moja Mwaka Fulani na akina Gor Mahia na kale katimu Ka Rwanda na wakatoka hata bila pointi! Happy New Year Jamani, Msitowe Povu, kweli inauma eeh! Kati ya Malindi na Yanga Nani mkubwa kimataifa?

View attachment 2066170
Yani seriously kihistoria unailinganisha Malindi na Uto? Uto size yao ni Biashara United na IHEFU. Uto hawamgusi hata Namungo.

Siku nyingine anzisha thread zenye mashiko
 
Hahahahaa! Mkuu Aspirin nisamehe bure, hii Leo ndo nimeipata
 
Acha kuifananisha Yanga na vitu vya kijinga, malindi ndiyo nini[emoji848]
Nilikuwa namtafta mtu mwenye akili kubwa kama wewe, SASA nijibu Tu Kwa fact, timu kubwa (Malindi) ilifika semis Shirikisho, sasa tulinganishie hpo na Yanga yako, Uzi huu unahusu mafanikio makubwa kimataifa, ukumbuke Hilo muda unahemka kujibu, usilete porojo! Tuwekee data huo ukubwa wa Yanga kimataifa zaidi ya Malindi Asprin
 
Umeanza matusi kabla hata sijakujibu, nani anahemka sasa? Why usisubiri nikujibu hizo facts unazozitaka ndiyo useme nahemka or not? Mbona kama wewe ndiyo una mhemko mkubwa 🤔
 
Umeanza matusi kabla hata sijakujibu, nani anahemka sasa? Why usisubiri nikujibu hizo facts unazozitaka ndiyo useme nahemka or not? Mbona kama wewe ndiyo una mhemko mkubwa [emoji848]
Ndgu yangu mbna sijaweka neno la tusi, au kuhemka ni tusi,? Basi nimelitoa mkuu
Kumbuka we umesema nimeifananisha Malindi waliofika semis na vitu vya kijinga, timu iliyofika Semis?
 
Haya mkuu umekua humble hadi raha, basi usijali nakuja na facts sasa hivi, subiri kidogo
 
Kama baba wa timu zote za Tanzania anazaraulika namna hii bas nimeanza kuamini kweli hiki ni kizazi cha nyoka.
 
Hahahahaaa! Mwaga facts mkuu hpa tunaongelea Malindi na Yanga kimataifa, bdye utafungua ule Uzi wa mabingwa wa Kihistoria
 
Back
Top Bottom