G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
- Thread starter
- #21
Umejibu hoja ya hpo juu au hiyo yako ni mpya tuianzishie thread?Kwahiyo simba au hiyo timu ya kuitwa MALINDI zimewahi kubeba kombe gani la kimataifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejibu hoja ya hpo juu au hiyo yako ni mpya tuianzishie thread?Kwahiyo simba au hiyo timu ya kuitwa MALINDI zimewahi kubeba kombe gani la kimataifa?
Umejiteka tayariii[emoji28][emoji28][emoji28]Haya mkuu umekua humble hadi raha, basi usijali nakuja na facts sasa hivi, subiri kidogo
Nipooo😂😂Umejiteka tayariii[emoji28][emoji28][emoji28]
Amesema anarudi mkuu, inawezekana kaenda kutuletea data, tusubiriUmejiteka tayariii[emoji28][emoji28][emoji28]
Tunasubiri takwimu[emoji1787]Nipooo[emoji23][emoji23]
Bora nijiteke tu😂Tunasubiri takwimu[emoji1787]
Ha Ha ha wahi makao makuu pale jangwani kwenye ofisi ya kumbukumbu labda unaweza kupata angalia kuanzia mwaka 1940Bora nijiteke tu[emoji23]
😂 Mwaka 1940 vita ya pili ya dunia ilikua imekolea walipata huo muda wa kucheza mpira kweli🤔Ha Ha ha wahi makao makuu pale jangwani kwenye ofisi ya kumbukumbu labda unaweza kupata angalia kuanzia mwaka 1940
Haya mkuu, tumekubali kma umeamua kujitekaBora nijiteke tu[emoji23]
Anaweza kuzipata kweli mkuu?Ha Ha ha wahi makao makuu pale jangwani kwenye ofisi ya kumbukumbu labda unaweza kupata angalia kuanzia mwaka 1940
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani seriously kihistoria unailinganisha Malindi na Uto? Uto size yao ni Biashara United na IHEFU. Uto hawamgusi hata Namungo.
Siku nyingine anzisha thread zenye mashiko
We zombi una lipi lakujivunia anga la kimataifa?Hawa mbuzi ukiwatajia anga la kimataifa tu, wana nyongea kinyama yani.
Yaani Yale majina makubwa makubwa ya ubishi, yamepita mbali kabisa, kumbe umeliona Hilo mkuu!Hawa mbuzi ukiwatajia anga la kimataifa tu, wana nyongea kinyama yani.
kwanza pole kwa kulawitiwa na jinni Kijana Alawitiwa na Jini kwa Miezi Sita halafu issue za Yanga na Malindi zinakuhusu nini wewe KOLOMkipata jibu msionge nasi kabisa kuhusu ukubwa wetu kimataifa! Kumbe Mwaka 1995 Malindi(Zanzibar) iliwahi kufikia hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Etoile du sahel na kutolewa Kwa penati 4-3, heh!
Kumbe kimataifa walishafika mbali hata zaidi ya Yanga( wazee wa Historia) walio wekwa kwenye group moja Mwaka Fulani na akina Gor Mahia na kale katimu Ka Rwanda na wakatoka hata bila pointi! Happy New Year Jamani, Msitowe Povu, kweli inauma eeh! Kati ya Malindi na Yanga Nani mkubwa kimataifa?
View attachment 2066170
Ndicho hicho tunachojua, Yanga mwenye akili kma wewe huwa ukianza Kuongelea Mambo ya kimataifa lazima waje na matusi, make wanajuwa vyema hakuna hoja kama wewe Kenge, uliyekuja na matusi, umeshindwa kuleta data zako kimataifa tufanye comparison na Malindi., Lkn ukaenda kuleta data za matusi, fungua Uzi mpya wa matusi basi tuje huko tulishukie!kwanza pole kwa kulawitiwa na jinni Kijana Alawitiwa na Jini kwa Miezi Sita halafu issue za Yanga na Malindi zinakuhusu nini wewe KOLO
Hiyo masijala yao ipo kweli au makabrasha yamekwenda na majiHa Ha ha wahi makao makuu pale jangwani kwenye ofisi ya kumbukumbu labda unaweza kupata angalia kuanzia mwaka 1940