G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Hahahahaaa duh! Mkuu umeniacha hoiAcha kufananisha Malindi na vitu vya kipumbavu.
Kweli kabisa mkuu misimu yote minne huwa mnafanya hivyo hivyo!Kunyanyua makwapa mwisho wa msimu! Halafu siku hiyo lazima nije Mjini kudadek! Tulianza na Ngao ya Jamii.... Na tunamalizia na Ubingwa wa Ligi Kuu.
Wanakwambia ni wao kila msimu ukianzaBado wanaota ubingwa
Yani seriously kihistoria unailinganisha Malindi na Uto? Uto size yao ni Biashara United na IHEFU. Uto hawamgusi hata Namungo.Mkipata jibu msionge nasi kabisa kuhusu ukubwa wetu kimataifa! Kumbe Mwaka 1995 Malindi(Zanzibar) iliwahi kufikia hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Etoile du sahel na kutolewa Kwa penati 4-3, heh!
Kumbe kimataifa walishafika mbali hata zaidi ya Yanga( wazee wa Historia) walio wekwa kwenye group moja Mwaka Fulani na akina Gor Mahia na kale katimu Ka Rwanda na wakatoka hata bila pointi! Happy New Year Jamani, Msitowe Povu, kweli inauma eeh! Kati ya Malindi na Yanga Nani mkubwa kimataifa?
View attachment 2066170
Hahahahaa! Mkuu Aspirin nisamehe bure, hii Leo ndo nimeipataYani seriously kihistoria unailinganisha Malindi na Uto? Uto size yao ni Biashara United na IHEFU. Uto hawamgusi hata Namungo.
Siku nyingine anzisha thread zenye mashiko
Basi usijali.... cha msingi usisahau tenaHahahahaa! Mkuu Aspirin nisamehe bure, hii Leo ndo nimeipata
Sawa bosi wangu!Basi usijali.... cha msingi usisahau tena
Nilikuwa namtafta mtu mwenye akili kubwa kama wewe, SASA nijibu Tu Kwa fact, timu kubwa (Malindi) ilifika semis Shirikisho, sasa tulinganishie hpo na Yanga yako, Uzi huu unahusu mafanikio makubwa kimataifa, ukumbuke Hilo muda unahemka kujibu, usilete porojo! Tuwekee data huo ukubwa wa Yanga kimataifa zaidi ya Malindi AsprinAcha kuifananisha Yanga na vitu vya kijinga, malindi ndiyo nini[emoji848]
Umeanza matusi kabla hata sijakujibu, nani anahemka sasa? Why usisubiri nikujibu hizo facts unazozitaka ndiyo useme nahemka or not? Mbona kama wewe ndiyo una mhemko mkubwa 🤔Nilikuwa namtafta mtu mwenye akili kubwa kama wewe, SASA nijibu Tu Kwa fact, timu kubwa (Malindi) ilifika semis Shirikisho, sasa tulinganishie hpo na Yanga yako, Uzi huu unahusu mafanikio makubwa kimataifa, ukumbuke Hilo muda unahemka kujibu, usilete porojo! Tuwekee data huo ukubwa wa Yanga kimataifa zaidi ya Malindi Asprin
Ndgu yangu mbna sijaweka neno la tusi, au kuhemka ni tusi,? Basi nimelitoa mkuuUmeanza matusi kabla hata sijakujibu, nani anahemka sasa? Why usisubiri nikujibu hizo facts unazozitaka ndiyo useme nahemka or not? Mbona kama wewe ndiyo una mhemko mkubwa [emoji848]
Haya mkuu umekua humble hadi raha, basi usijali nakuja na facts sasa hivi, subiri kidogoNdgu yangu mbna sijaweka neno la tusi, au kuhemka ni tusi,? Basi nimelitoa mkuu
Kumbuka we umesema nimeifananisha Malindi waliofika semis na vitu vya kijinga, timu iliyofika Semis?
Hahahahaa! Haya bosiHaya mkuu umekua humble hadi raha, basi usijali nakuja na facts sasa hivi, subiri kidogo
Hahahahaaa! Mwaga facts mkuu hpa tunaongelea Malindi na Yanga kimataifa, bdye utafungua ule Uzi wa mabingwa wa KihistoriaKama baba wa timu zote za Tanzania anazaraulika namna hii bas nimeanza kuamini kweli hiki ni kizazi cha nyoka.
Kwahiyo simba au hiyo timu ya kuitwa MALINDI zimewahi kubeba kombe gani la kimataifa?Hahahahaaa! Mwaga facts mkuu hpa tunaongelea Malindi na Yanga kimataifa, bdye utafungua ule Uzi wa mabingwa wa Kihistoria