donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Sahihi mkuu, jengua alikua mkaksi sana kwa bintize lakini mtt wake wakiume alikua anamfuga. Mzee alikua mkoloni sijawahi onaMambo Hayo - nilikuwa napenda segment ya joti na Mpoki.
Kaole walikuwa ni all round team, nadhani kwa kipindi kile ukizungumzia kundi, Kaole lilikuwa kundi la mfano.
Kidedea kuna igizo ambalo Jengua ali-act kama Baba yao kina Tabia, ule mchezo ulibamba sana.
Kingwendu ni kaole ila majuto sina kumbukumbu sahihiKwani Majuto na Kingwendu walikuwa kundi lipi?
Sahihi mkuu, jengua alikua mkaksi sana kwa bintize lakini mtt wake wakiume alikua anamfuga. Mzee alikua mkoloni sijawahi ona
Kwani Majuto na Kingwendu walikuwa kundi lipi?
Kufariki nlisikia ila kwamba alikua mtoto wa jengua kweli ndio naskia kwako don mwenzanguAlikuwa anatoa instructions kwa kidole tu. Halafu nilisikia Tabia alishafariki, na alikuwa ni mwanae kabisa Jengua.
Kufariki nlisikia ila kwamba alikua mtoto wa jengua kweli ndio naskia kwako don mwenzangu
Kaole sanaa group limetoa 90% ya Bongo movie super star wa nchi hii pamoja na Mcs na watangazaji wa redio na TV kwa kiasi chake. Kwa upande wangu kaole niliwakubali zaidi hasa lile tamthiliya yao ya Muhogo Mchungu anamuozesha mwanae aliekuwa mwali Nyamayao kwa mzee Pwagu(RIP). Familia ilikuwa haijakubali jambo hilo hasa ikizingatiwa umri wa Mzee Pwagu kwa Nyamayao ni kama mtu na mjukuu wake. Alichofanya Muhogo Mchungu alikula pesa ya Mzee Pwagu halafu siku ya sherehe ya kumtoa mwali Nyamayao katikati yard sherehe Muhogomchungu anamuiba mwali kwa kumbeba mgongoni na kumpelekea mkwewe Mzee Pwagu.
Mwishoni mwa tisini na mwanzoni mwa elfu mbili huwezi amini miaka ishirini sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mhogo mchungu masta kweliKaole sanaa group limetoa 90% ya Bongo movie super star wa nchi hii pamoja na Mcs na watangazaji wa redio na TV kwa kiasi chake. Kwa upande wangu kaole niliwakubali zaidi hasa lile tamthiliya yao ya Muhogo Mchungu anamuozesha mwanae aliekuwa mwali Nyamayao kwa mzee Pwagu(RIP). Familia ilikuwa haijakubali jambo hilo hasa ikizingatiwa umri wa Mzee Pwagu kwa Nyamayao ni kama mtu na mjukuu wake. Alichofanya Muhogo Mchungu alikula pesa ya Mzee Pwagu halafu siku ya sherehe ya kumtoa mwali Nyamayao katikati yard sherehe Muhogomchungu anamuiba mwali kwa kumbeba mgongoni na kumpelekea mkwewe Mzee Pwagu.
Alikuwa mwanae, nilisoma na mtu ambaye Jengua ni mjomba wake.
Nadhani ni watu wa Mpwapwa.
Post yangu ya kwanza nimeitaja Kaole kama kundi la mfano.
Jamaa walikuwa vizuri kwenye ku-spot talent na walikuwa na uongozi imara sana.
Kitu kingine walikuwa wanatoa nafasi kwa mtu anayedhihirisha uwezo.
Kwa kifupi unaweza sema hawa ndiyo engineer wakuu kwenye sekta ya movie na tamthiliya hapa Bongo.
Sikh hizi hata sijusumbui kabisa kuangalia michezoMimi nadhani kila mojawapo lili bamba kulingana na wakati wake, japo yote yalikuwa moto tena yenye mafunzo sana. Sio mapenzi mapenzi kama ya leo.
Vya zamani mkuu?Vipindi vingi vimenunuliwa Dstv