agprogrammer
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 468
- 362
Kuna moja tu huwa namkuta wife anafuatilia inaitwa kapuni kidogo naielewa
Sikh hizi hata sijusumbui kabisa kuangalia michezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikh hizi hata sijusumbui kabisa kuangalia michezo
Channel gan mkuuKuna moja tu huwa namkuta wife anafuatilia inaitwa kapuni kidogo naielewa
Kingwendu ni kaole ila majuto sina kumbukumbu sahihi
Atamzdi Nina wa kaole?Kidedea kulikuwa na demu anaitwa SAFINA,ana wezele si la kitoto sijui sasa hivi yupo wapi.
Jahazi daaah umenikumbusha mbali mkuuilibidi kaole igizo lao liwe la muendelezo like tamthilia kama za isidingo, days of our lives, the bold and the beautiful. sijui walikwama wapi aisee sijui ITV waliwapa vikwazo hawa jamaa. Moja ya maigizo yao nayoyakubali hadi kesho ni Sayari, Jahazi, na tetemo
Maisha magic bongoChannel gan mkuu
Wewe SAFINA unamjua unamsikia.Atamzdi Nina wa kaole?
Joti, Mpoki na Seki wametokea Mambo hayo ya wale kina Bishanga na Richie. Bambo ni kweli ametokea kidedea. Makundi yote hayo kwa sasa hayapo tena imebaki story tu!Kaone ndio baba wa tamthilia hapa nchini. Kila msanii alitendea haki bafasi aliyopewa. Kwa kifupi kaole ndio imewatoa Joti na Mpaki, Bambo, Seki japo kwa sasa simsikii sana.
Mtu niliyekuwa na mkubali na bado namkubali sana na anacheza kiuhalisia sana ni bi star, mke wa Muhogo Mchungu.
Kwa kifupi kaole wapo juu japo sina uhakika kama bado wapo maana ivumayo haidumu
Kipindi kile sanaa ya vikundi vya maigizo ilikuwa hailipi sana watu walikuwa wanatafuta kuonyesha sura tu wakipata dili kwingine wanatoboa. Halafu I TV walikuwa wanawalipa pesa kidogo sana, halafu kulikuwa na jamaa anaitwa Chriss Muhenga ambae ndio alikuwa mtayarishaji na muongozaji wa vipindi vyote vya maigizo ITV enzi hizo. Huyu jamaa alilalamikiwa sana na wasanii kuwa anawanyonya.ilibidi kaole igizo lao liwe la muendelezo like tamthilia kama za isidingo, days of our lives, the bold and the beautiful. sijui walikwama wapi aisee sijui ITV waliwapa vikwazo hawa jamaa. Moja ya maigizo yao nayoyakubali hadi kesho ni Sayari, Jahazi, na tetemo
Wewe SAFINA unamjua unamsikia.
Kipindi kile sanaa ya vikundi vya maigizo ilikuwa hailipi sana watu walikuwa wanatafuta kuonyesha sura tu wakipata dili kwingine wanatoboa. Halafu I TV walikuwa wanawalipa pesa kidogo sana, halafu kulikuwa na jamaa anaitwa Chriss Muhenga ambae ndio alikuwa mtayarishaji na muongozaji wa vipindi vyote vya maigizo ITV enzi hizo. Huyu jamaa alilalamikiwa sana na wasanii kuwa anawanyonya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakumbuka 2004 kaole walikua na igizo linaitwa Gharika ambayo masta kanumba alicheza na ray na johar,nafikir hata movie ya Johar yote walikopi ktk igizo hili..jumamosi moja saa tatu ucku tuliibiwa godoro jipya kutokana na nyumba nzima hadi ya jirani kuhamia sebureni kwetu bila kuwa na umakini na milango ya vyumba
Hiyo video huyo ukimwona live huko nyuma,unaweza sema umepisha na faru.Hebu tupiamo kapicha mkuu
Majuto mwenzake alikua anaitwa mwanachia halafu kulikua kuna mtu mfupi alijiita kistuli nao walibamba.Majuto hakuwa kwenye hayo makundi makundi.
Kingwendu alijoin Kaole akakutana na Bambo.