mkuu unatupa waswas na kiwango chako Cha akili ya utambuzi
nakuachia dondoo kadhaa ambazo zitakusaidia ukipevuka akili
*hakuna aliyewahi kutoboa A___Z bila bila kushikwa mkono (hii huwa Ni siri na tunaishi kwa kutegemeana)
*unaweza kupewa laki uipandishe ifike million ndan ya miez 5 ukashindwa (Hilo pia lifikirie Mara mbili)
*unadhani MO ndiye kijana pekee aliyewahi kukua na kukuta hela kwenye bank account??? .kwann amekuw kinara au akitajwa sana kuliko wengne.
*Ni vijana wangapi unaowajua waliwahi pewa mitaji au kuachiwa biashara baada ya kipind kifupi miradi ikafa ,kwann
*unayajua maisha ya kuifanya 100 iwe 1000???
nahitimisha kwa kukuuliza
** umeshawahi kukaa na MO akakuhadithia hustle alizofanya Hadi kuwepo pale?? ama Ni stroy tuu unasikia
** uliwahi kukaa na Mengi akakwambia aliwahi kuuza karanga Hadi kuwa tajiri vile na hakushikwa na mtu? au story tu unasimuliwa
**WEWE HAPO KUNA ANAYEJUA NJIA ULIZOPITIA KUWEPO HAPO ULIPO?? NAMAANISHA ZILE (BLACK N WHITE)