Kati ya Marehemu Mengi na MO Dewji nani bingwa wa kusaka hela?

Duh! Tutasikia mengi.
 
"I can, I must, I will. The Spirit of Success" ni inspiration yangu.
Unaweza kuwataja waliomshika mkono Mengi?
 
Duh! Tutasikia mengi.

Mengi ndo wa kwanza kama sijakosea kupata CPA na alikuwa ameajiriwa kipind kile alikuwa na fursa kibao na sera ya kuwabeba wazawa ilimbeba chini ya Nyerere.

Hakuna mtoto anayeanzia chini atajifunza kitu kutoka kwa Mengi ,hakuwa wa familia ya ovyo kama wanadai na tambua enzi zile kusoma walikuwa ni wale watoto wa machief na watu wanaojiweza ndo wanasoma mpaka kufika mbali ...Wengi mdanganganywa Mengi hakutokea familia duni la wala hakuhustle kama mnavyodanganywa
 
"I can, I must, I will. The Spirit of Success" ni inspiration yangu.
Unaweza kuwataja waliomshika mkono Mengi?
Wa kwanza ni Nyerere chjni ya kumpa kipaumbele ,hafalu tambua hakutokea familia ya kimaskini izo kalamu lini kauza kama unao ushahidi kauza leta hapa .

Iyo slogan na kitabu kwa ujumla ni trash hamna cha maana ..Eti slogan yangu
 
Sasa wewe hapo umemshabikia au umemponda? Mapaparazi wa Manzese bhana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…