mtoro wa shule
Member
- Jul 30, 2015
- 82
- 163
Nchi inaendeshwa Kwa amri za Ally Khamenei. Yeye ndo kiongozi wa Iran. Anasimamia jeshi, uchumi, mambo ya nje na maadili ya Taifa. Huyo mwingine anaweza kuondolewa madarakani Kwa decree ya Khamenei.Hapa rais wa nchi ya Iran Masoud Pezeshkian kaketi chini Ali Khamenei akiwa amepozi juu ya kiti.
Ki itifaki wenzetu yupi ni kiongozi wa mwenzake hapo.
View attachment 3059163View attachment 3059164
Hapa rais wa nchi ya Iran Masoud Pezeshkian kaketi chini Ali Khamenei akiwa amepozi juu ya kiti.
Ki itifaki wenzetu yupi ni kiongozi wa mwenzake hapo.
View attachment 3059163View attachment 3059164
Kwa maneno mengine Iran ni " Theocracy". Dini ndio inayotawala na kuongoza nchi.Kwa Iran, Ayatollah ndio Kiongozi Mkuu wa Nchi na Kiongozi Mkuu wa Kidini. Hata Rais wa Nchi LAZIMA athibitishwe na Ayatollah! Rais ni Kiongozi Mkuu wa Serikali.
Tofauti sana , jifunzeHao ni viongozi wa nchi au viongozi wa vikundi vya kigaidi?
Iran ni Islamic ruled hivyo kiongozi wa dini ndio anakua Supreme leader .Hapa rais wa nchi ya Iran Masoud Pezeshkian kaketi chini Ali Khamenei akiwa amepozi juu ya kiti.
Ki itifaki wenzetu yupi ni kiongozi wa mwenzake hapo.
View attachment 3059163View attachment 3059164
Wahuni tu hao bwashee!Hao ni viongozi wa nchi au viongozi wa vikundi vya kigaidi?
Kila nchi ina namna yake ya uongozi.Wahuni tu hao bwashee!
Viongozi wa nchi wanapatikana katika huu mjengo hapa chini πππ
View attachment 3059255
WHITE HOUSE πΊπΈ
Oooh no Kosugi!Kila nchi ina namna yake ya uongozi.
Napenda uongozi wa dini kwani haki hupatikana kukiwa na uongozi wa kidiniIran ni nchi ya kipuuzi, Inaongozwa na kiongozi wa dini