Kati ya Masoud Pezeshkian na Ali Khamenei, kiitifaki wenzetu yupi ni kiongozi wa mwenzake?

Kati ya Masoud Pezeshkian na Ali Khamenei, kiitifaki wenzetu yupi ni kiongozi wa mwenzake?

Joined
Jul 30, 2015
Posts
82
Reaction score
163
Hapa rais wa nchi ya Iran Masoud Pezeshkian kaketi chini Ali Khamenei akiwa amepozi juu ya kiti.
Ki itifaki wenzetu yupi ni kiongozi wa mwenzake hapo.

photo_2024-07-12_15-19-05.jpg
photo_2024-07-12_15-19-06.jpg
 
Hapa rais wa nchi ya Iran Masoud Pezeshkian kaketi chini Ali Khamenei akiwa amepozi juu ya kiti.
Ki itifaki wenzetu yupi ni kiongozi wa mwenzake hapo.

View attachment 3059163View attachment 3059164
Nchi inaendeshwa Kwa amri za Ally Khamenei. Yeye ndo kiongozi wa Iran. Anasimamia jeshi, uchumi, mambo ya nje na maadili ya Taifa. Huyo mwingine anaweza kuondolewa madarakani Kwa decree ya Khamenei.
 
Ayatollah ndio supreme leader, hata hivyo kukaa kwenye kiti ni afya tu. Ni mzee na mnene kiasi si ajabu hawezi kuketi chini. Iranians wana unyenyekevu na utii hawapendi kujitweza. Hata Qasem Soleimani alikuwa anaishi kawaida tu na wenzake wakati ni kamanda mkubwa na muhimu.

Hata Rais Mahmoud Ahmadnejad anaishi maisha ya kawaida. Iranians sio kama Waarabu viongozi kuishi luxurious na kujitweza.
 
Back
Top Bottom