Kati ya matofali ya kuchoma na ya saruji unachagua yapi?

Kati ya matofali ya kuchoma na ya saruji unachagua yapi?

Tofari ya kuchoma no Imara kuliko ya Cement, pia kama umefanya plastering Kwa Resho nzuri, Fangasi hawatasumbua...!

Nchi nyingine wanajenga Tofari za kuchoma mpaka level ya Dirisha then wanamalizia na Block.
 
View attachment 1879512 mfano hizi zina clay content 44% , udongo ulichakatwa ukaingizwa kwenye machine zikakandamizwa kwa kiwango cha 9 MPa ( wataalam walivyotuelezea), then hapo zikapangwa tayari kwa uchomaji.
Hiki kiwanda kipo wapi? Nikihitaji bidhaa nawapataje?
Au basi vifaa vya kuumba tofali na kukandamiza.

Kiufupi nikizitaka tofali kama hizo, tunafanyeje?
 
Hiki kiwanda kipo wapi? Nikihitaji bidhaa nawapataje?
Au basi vifaa vya kuumba tofali na kukandamiza.

Kiufupi nikizitaka tofali kama hizo, tunafanyeje?
You can DM me or call +255783030101 nikuassist further informations kulingana na uhitaji wako
 
Back
Top Bottom