Uhakika Bro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 3,644 Reaction score 4,315 Aug 23, 2024 #141 Mtafiti77 said: Mkeo akiwa mjamzito anayamaliza kwa kuyabwia Click to expand... ๐๐๐ ilaaa. Tukiacha utani, itakuwa nyumba za choma zina afya zaidi maana zipo kiasili hadi zinalika๐
Mtafiti77 said: Mkeo akiwa mjamzito anayamaliza kwa kuyabwia Click to expand... ๐๐๐ ilaaa. Tukiacha utani, itakuwa nyumba za choma zina afya zaidi maana zipo kiasili hadi zinalika๐
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 4,977 Reaction score 6,635 Aug 23, 2024 #142 Tofari ya kuchoma no Imara kuliko ya Cement, pia kama umefanya plastering Kwa Resho nzuri, Fangasi hawatasumbua...! Nchi nyingine wanajenga Tofari za kuchoma mpaka level ya Dirisha then wanamalizia na Block.
Tofari ya kuchoma no Imara kuliko ya Cement, pia kama umefanya plastering Kwa Resho nzuri, Fangasi hawatasumbua...! Nchi nyingine wanajenga Tofari za kuchoma mpaka level ya Dirisha then wanamalizia na Block.
Uhakika Bro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 3,644 Reaction score 4,315 Aug 23, 2024 #143 Kimolah said: View attachment 1879512 mfano hizi zina clay content 44% , udongo ulichakatwa ukaingizwa kwenye machine zikakandamizwa kwa kiwango cha 9 MPa ( wataalam walivyotuelezea), then hapo zikapangwa tayari kwa uchomaji. Click to expand... Hiki kiwanda kipo wapi? Nikihitaji bidhaa nawapataje? Au basi vifaa vya kuumba tofali na kukandamiza. Kiufupi nikizitaka tofali kama hizo, tunafanyeje?
Kimolah said: View attachment 1879512 mfano hizi zina clay content 44% , udongo ulichakatwa ukaingizwa kwenye machine zikakandamizwa kwa kiwango cha 9 MPa ( wataalam walivyotuelezea), then hapo zikapangwa tayari kwa uchomaji. Click to expand... Hiki kiwanda kipo wapi? Nikihitaji bidhaa nawapataje? Au basi vifaa vya kuumba tofali na kukandamiza. Kiufupi nikizitaka tofali kama hizo, tunafanyeje?
Le professel JF-Expert Member Joined May 14, 2019 Posts 636 Reaction score 960 Aug 23, 2024 #144 I will be back here
Kimolah JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 562 Reaction score 762 Aug 23, 2024 #145 Uhakika Bro said: Hiki kiwanda kipo wapi? Nikihitaji bidhaa nawapataje? Au basi vifaa vya kuumba tofali na kukandamiza. Kiufupi nikizitaka tofali kama hizo, tunafanyeje? Click to expand... You can DM me or call +255783030101 nikuassist further informations kulingana na uhitaji wako
Uhakika Bro said: Hiki kiwanda kipo wapi? Nikihitaji bidhaa nawapataje? Au basi vifaa vya kuumba tofali na kukandamiza. Kiufupi nikizitaka tofali kama hizo, tunafanyeje? Click to expand... You can DM me or call +255783030101 nikuassist further informations kulingana na uhitaji wako