wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Nakumbuka kipindi naendaga kuogelea na wenzangu nikishavua nguo naingia dimbwini na wenzangu sasa tunajifanya tunazama kumbe mle mle namshika mwenzangu namfanya dyu dyu[emoji85] wakati huo huo namwachia kidogo tunaendelea hivyo hivyo najifanya namfundisha kuogelea kumbe kuna kitu kinaendelea!wakati mwingine nazamisha kiwiliwili naacha kichwa juu natulia kumbe nakunya humo humo!(nadhani hapa mungu alikuwa ananiona sana)[emoji85] na ktk michezo mingine nilikuwa tunakamata kinyonga au chura tunampasua kama tunamfanyia opareshion akifa tunalia tunapiga mayowe kwa nguvu kama kweli vile na tunatengeneza jeneza tunafanya mazishi kweli kweli kama mtu kweli (hapa nimekumbuka tulipigwa sana na wazazi baada ya kuja kuambiwa tulichofanya) na tukio la mwisho tulikuwa tunateleza kwenye mgomba nikamtegeshea dadaangu kiti kikamwingia kwenye papuchi yake hadi aka toka damu[emoji85] alilia sana hadi mama akaja ndo akasema asee nilipigwa sana sitosahau hadi sasa mungu anisamehe!! Wee ni mtukio gani hatarishi ulifanyaga utotoni ambalo hutakaa usahau!