Kati ya matukio hatari niliokuwa nayafanya utotoni !!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Nakumbuka kipindi naendaga kuogelea na wenzangu nikishavua nguo naingia dimbwini na wenzangu sasa tunajifanya tunazama kumbe mle mle namshika mwenzangu namfanya dyu dyu[emoji85] wakati huo huo namwachia kidogo tunaendelea hivyo hivyo najifanya namfundisha kuogelea kumbe kuna kitu kinaendelea!wakati mwingine nazamisha kiwiliwili naacha kichwa juu natulia kumbe nakunya humo humo!(nadhani hapa mungu alikuwa ananiona sana)[emoji85] na ktk michezo mingine nilikuwa tunakamata kinyonga au chura tunampasua kama tunamfanyia opareshion akifa tunalia tunapiga mayowe kwa nguvu kama kweli vile na tunatengeneza jeneza tunafanya mazishi kweli kweli kama mtu kweli (hapa nimekumbuka tulipigwa sana na wazazi baada ya kuja kuambiwa tulichofanya) na tukio la mwisho tulikuwa tunateleza kwenye mgomba nikamtegeshea dadaangu kiti kikamwingia kwenye papuchi yake hadi aka toka damu[emoji85] alilia sana hadi mama akaja ndo akasema asee nilipigwa sana sitosahau hadi sasa mungu anisamehe!! Wee ni mtukio gani hatarishi ulifanyaga utotoni ambalo hutakaa usahau!
 
Ndio maana wengi mliofanya upuuzi na laana watoto wenu huwa mabwabwa
 
Kweli wewe wa stendi.

kijana tumekusamehe wazee wako wala usiwe na shaka.
binafsi tukio la hatari niliacha kwenda shule miezi 4 nikiwa kidato cha nne kwa sababu shuleni walimu walikuwa hawaingii darsani alimanusura nifukuzwe shule japo nilifaulu mitihani
 
Una vi elements vya uchawi
 
Sasa mavi kwenye maji yanaelea, we ilikuwa inakuwaje au ulikuwa unayashikilia
 
aisee kuna cku nilimshika makalio mbwa wa askari..aisee yule mbwa alimind hatari yaan sitoisahau ile cku
 
Mimi nilipanda mti wa mzambalao nikala zambalawe za kutosha,afu nikabanwa kukata gogo,nikajichagulia tawi moja nikaweka pozi la kukata gogo,kabla sijaanza mguu m1 ukateleza nikaanguka nikavunjika mkono wa kulia na kukimbizwa kulazwa hospital moja inaitwa Bukumbi jijini Mwanza,hyo ni Mwaka 1983 nikiwa na miaka 7.
 
kijana tumekusamehe wazee wako wala usiwe na shaka.
binafsi tukio la hatari niliacha kwenda shule miezi 4 nikiwa kidato cha nne kwa sababu shuleni walimu walikuwa hawaingii darsani alimanusura nifukuzwe shule japo nilifaulu mitihani
Asnt mkuu tusameheane
 
Sasa mavi kwenye maji yanaelea, we ilikuwa inakuwaje au ulikuwa unayashikilia
Mkuu madimbwi ya maji mtotni yanakuwaga makubwa na kina kirefu kidogo na vilevile maji tukishaingia huko tunakuwa tushayavuruga yanakuwa machafu hivyo hata ukitumbukiza kitu mle kinakuwa hakionekani
 
aisee kuna cku nilimshika makalio mbwa wa askari..aisee yule mbwa alimind hatari yaan sitoisahau ile cku
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ulitaka kumfanya nini mbwa wa watu!!kwanza wee mwongo ninavyojua ya mambwa yale ya askari yanavyotisha hata jeuri ya kuyasogelea huna
 
Mimi nilipanda mti wa mzambalao nikala zambalawe za kutosha,afu nikabanwa kukata gogo,nikajichagulia tawi moja nikaweka pozi la kukata gogo,kabla sijaanza mguu m1 ukateleza nikaanguka nikavunjika mkono wa kulia na kukimbizwa kulazwa hospital moja inaitwa Bukumbi jijini Mwanza,hyo ni Mwaka 1983 nikiwa na miaka 7.
Duu mkuu bila shaka wee saa hivi utakuwa ni babu bomba[emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom