Kati ya Maulidi Kitenge na Masoud Kipanya nani zaidi kwenye yafuatayo...

Mtu kafiwa na mwanae we umekuja kumshindanisha u born town? Seriously?
Ndio uhalisia wa binadamu, ukipata hata watu watatu wanaoweza hisi maumivu yako na wakayachukulia kama yao. Bhasi shukuru Mungu

Wengi watakuja kukuangalia ili kupalilia mahusiano ya kazi au kibiashara ili kulinda maslahi yao ya kukutumia huko mbeleni. Wengine tena wengi wanaogopa macho ya watu tu"wataonekanaje". Anakuja kukuuguza au kukupa kampani ili asisemwe vibaya au akaja kutengwa mtaani au ofisini kama akifikwa na matatizo. Fake beings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…