Kati ya Maulidi Kitenge na Masoud Kipanya nani zaidi kwenye yafuatayo...

Huu ufala wa wabongo bana.... we mtanzania utaipeleleza marekani kwa kitu gani ? Ili upate nini ? Uige nini ? Udhibiti nini ? Yani maulidi akapeleleze nchi za nje kweli ? Kwa taarifa gani hasa ?
 
Huu ufala wa wabongo bana.... we mtanzania utaipeleleza marekani kwa kitu gani ? Ili upate nini ? Uige nini ? Udhibiti nini ? Yani maulidi akapeleleze nchi za nje kweli ? Kwa taarifa gani hasa ?
Ww Legeza misuli ya kichwa hicho na acha makasiriko, hujui kule kuna ubalozi wa Tanzania, hujui kuna watanzania waishio kule na maulid haendi USA tu, hadi nchi za Ulaya, sema siwezi kutumia nguvu kubwa kuelezea mtu mpumbavu
 
Kp iz a best presenter in Bongo land hakuna kama yeye!!
 
Kipanya unamfananishaje na huyo Kitenge,Kipanya yuko juu,KP mlinganishe na wa hadhi yake wakina Captain G.
 
masoud Ni level nyingine wewe interms of fast thinking, reasoning logical, hoja mbali mbali kuzifikiri Yuko vizuri, hekima na busara, ucheshi ,mtu wa dini vizuri..kitenge uswahili mwingi tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
me ninavyojua kuwa Kitenge ni agent wa CIA Tz.
 
Shame on you!, very disappointing to have you in this conversations, OK am wrong brother
Acha porojo..jikite kwenye mada..

Huyo Kitenge unayesema kusafiri kwake ni kazi ya kitengo anafanya leta mfano wa informations anazoenda kutafuta huko USA kila muda..leta mfano tuone kuwa una hoja.
 
How our Embassy working in those foreign countries in the process of promoting good relation with those country

To supervise political relation via our embassy

And how can you know about the Ambassador in our embassy is doing great or otherwise without TISS

Note:If u need more clarifies please u have to PM
 
Yani unamfananisha KP na ubwabwa WA mjini ebu mtake radhi boss KP
 
Stori za kitoto, Kitenge atapeleleza kitu gani Marekani?
 
Yaah hata ile issue ya Oscar Oscar kuoa mwanamke wa kizungu kutoka Marekani ile ni special mission, sema small minded hawawezi kuelewa hapa
Aisee
 
Heshma yako mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…