Kati ya Mbeya, Iringa au Songea ni sehemu gani sahihi kuwekeza?

Kati ya Mbeya, Iringa au Songea ni sehemu gani sahihi kuwekeza?

Nenda Ruvuma i.e.Songea uelekeo Namtumbo...Kuanzia Lumecha mpaka maeneo ya Utwango,waweza sogea mpaka kwa Binti Ndembo au hata Litola mpaka Chengena,patakufaa sana.
Sawa, wanafanya kilimo gani hayo maeneo mkuu
 
Salamu zenu wakuu, natumai mu wazima.

Nina uhitaji wa kufahamu kiundani zaidi, upi kati ya mkoa tajwa hapo juu una fursa za uwekezaji?

Nafahamu mikoa hiyo ni mashuhuli kwa vilimo mbalimbali. Je, biashara gani ya kufanya huku ukiwa unajihusisha na kilimo? kilimo gani, wilaya gani?

Sipendelei maeneo ya mjini. Naombeni mnisaidie kijana mwenzenu nakipenda kilimo japo nimekuzwa mjini ila nia thabiti, ninayo shida pa kuanzia.
Njoo Dar ufungue danguro, inalipa zaidi.
 
Back
Top Bottom