Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
June 4 alipopandishwa kizimbani Sabaya kwa tuhuma za ujambazi na uhujumu uchumi, wafuasi na wanachama wa Chadema walipiga mayowe na kufurahia.
WanaCcm wakapiga kelele kudai kuwa Sabaya ametolewa kafara ili kumridhisha Mbowe, hii ni sababu Sabaya alimdhibiti na kumfurusha Mbowe kwenye siasa za wilaya ya Hai.
Haujapita hata Mwezi Mbowe amepandishwa kizimbani tena kwa tuhuma mbaya na nzito za ugaidi.
Wanachama na wafuasi wa Chedema wanadaia amebambikiwa kesi, kisa tu anadai katiba mpya. Huku wanaCcm wakikenua meno na kudai ni gaidi.
Je, Kati ya hawa mahabusu wawili, nani ambae amebambikiwa kesi?