Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
MwambaJune 4 alipopandishwa kizimbani Sabaya kwa tuhuma za ujambazi na uhujumu uchumi, wafuasi na wanachama wa Chadema walipiga mayowe na kufurahia.
WanaCcm wakapiga kelele kudai kuwa Sabaya ametolewa kafara ili kumridhisha Mbowe, hii ni sababu Sabaya alimdhibiti na kumfurusha Mbowe kwenye siasa za wilaya ya Hai.
Haujapita hata Mwezi Mbowe amepandishwa kizimbani tena kwa tuhuma mbaya na nzito za ugaidi.
Wanachama na wafuasi wa Chedema wanadaia amebambikiwa kesi, kisa tu anadai katiba mpya. Huku wanaCcm wakikenua meno na kudai ni gaidi.
Je, Kati ya hawa mahabusu wawili, nani ambae amebambikiwa kesi?
Mwamba atachomoka na atawavusha.Mwamba
Punguani mkubwa.Acha kujifanya punguani.
Uhalifu wa sabaya upo waziwazi kabisa mpaka video na picha zipo ila Mbowe uhalifu wake ni kuandaa kongamano la katiba
Mimi sikujua upunguani wako ni kiasi gani bahati nzuri umekubali wewe ni punguani mkubwa.Punguani mkubwa.
Punguani mkubwa.Mimi sikujua upunguani wako ni kiasi gani bahati nzuri umekubali wewe ni punguani mkubwa.
Sasa hata ukipewa majibu utaelewa kweli kama umeshakubali wewe ni punguani?
Bavicha kwa sabaya wanaona iko sawa ila kwa gaidi mbowe sio sawa!June 4 alipopandishwa kizimbani Sabaya kwa tuhuma za ujambazi na uhujumu uchumi, wafuasi na wanachama wa Chadema walipiga mayowe na kufurahia.
WanaCcm wakapiga kelele kudai kuwa Sabaya ametolewa kafara ili kumridhisha Mbowe, hii ni sababu Sabaya alimdhibiti na kumfurusha Mbowe kwenye siasa za wilaya ya Hai.
Haujapita hata Mwezi Mbowe amepandishwa kizimbani tena kwa tuhuma mbaya na nzito za ugaidi.
Wanachama na wafuasi wa Chedema wanadaia amebambikiwa kesi, kisa tu anadai katiba mpya. Huku wanaCcm wakikenua meno na kudai ni gaidi.
Je, Kati ya hawa mahabusu wawili, nani ambae amebambikiwa kesi?
Mbowe alienfluence Sabaya akamatwe kwa kubambikiwa tuhuma za ujambazi kumbe mwenyewe ni gaidiJune 4 alipopandishwa kizimbani Sabaya kwa tuhuma za ujambazi na uhujumu uchumi, wafuasi na wanachama wa Chadema walipiga mayowe na kufurahia.
WanaCcm wakapiga kelele kudai kuwa Sabaya ametolewa kafara ili kumridhisha Mbowe, hii ni sababu Sabaya alimdhibiti na kumfurusha Mbowe kwenye siasa za wilaya ya Hai.
Haujapita hata Mwezi Mbowe amepandishwa kizimbani tena kwa tuhuma mbaya na nzito za ugaidi.
Wanachama na wafuasi wa Chedema wanadaia amebambikiwa kesi, kisa tu anadai katiba mpya. Huku wanaCcm wakikenua meno na kudai ni gaidi.
Je, Kati ya hawa mahabusu wawili, nani ambae amebambikiwa kesi?
Tanzania hakuna polisi kuweza kujua gaidi. Hao polisi wenyewe wana mavyei FEKI.Hai palikuwa hatari sana, walikuwa na Mbunge gaidi na Mkuu wa wilaya jambazi..kama sinema 🐒
sasa unatuambia halafu unatuuliza kitu ulichotuambia tayariJune 4 alipopandishwa kizimbani Sabaya kwa tuhuma za ujambazi na uhujumu uchumi, wafuasi na wanachama wa Chadema walipiga mayowe na kufurahia.