Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
1) Navyo ona wabunge wanapaswa kuwa angalau wameishia kidato cha sita na sio kusoma na kuandika huku wakipokea mamilioni ya pesa.
2) Mwalimu ambaye atapokea shilingi 300000 - 370,000 bado et unataka afanye mtihani ili aajiriwe kwakigezo cha kupandisha hadhi ya elimu kumbe mkitaka wajitume pandisheni mishahara yao ndio hadhi ya kuwa mwalimu itaonekana.
3) Mwalimu anashindwa mshahara na fundi cherehani ambaye kwa siku anaingiza 20,000 kwa mwezi 600,000.
4) Mbunge aliyeishia drs la saba anamtungia sheria mwalimu mwenye diploma au degree et... asipo fanya mtihani wa ajira/akifeli hatapata ajira huku ulimpa mkopo miaka mitatu!
5) Ni vizuri hata wanunge wapewe mitihani tuone uwezo wao mana kazi ni ndiyoooo nasiyooo ndo elimu yao ilipo ishia!
6) Kigezo cha kufanya hiyo mitihani ingefaa waanze waliopo kazini, mana semina mashuleni haziwasaidii ndomana wanafunzi wanazidi kufeli!
7). Kudeliver maerial kwa mwanafunzi ni kipaji, kuna watu wanajua hesabu, chemistry, Grography vizuri on paper but hawezi kudeliver mbele za wanafunzi vzr mpaka wanfunzi wanalichukia somo.
8). Serikali imeshindwa kuajiri walimu hata kama kuna uhitaji kutokana na vijana wengi kuwepo mtaani pasipo ajira. Hivyo ikaamua kuanzisha hoja hiyo, cha kushangaza chama cha Walimu kipo tyu kinakenua meno!
9). Mpaka hapo nchi hii ni ya ajabu sana... Okay! tuwape mtihani basi na madereva wenu wabunge.