Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Hiyo electromechanical haipo tena hapa Tz.Unaweza soma kimoja kwa diploma then kwenye degree ukachukua electromechanical. Unakua unepiga ndege 2 kwa jiwe moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo electromechanical haipo tena hapa Tz.Unaweza soma kimoja kwa diploma then kwenye degree ukachukua electromechanical. Unakua unepiga ndege 2 kwa jiwe moja.
Hii mkuu umetupanga, bila shaka unafanya power generation plant. Ishu ya mechanical sio rahisi electrical kuhusika labda kama tatizo ni electrical in nature na mechanical wanategemea hilo liwe solved ndio waendelee. Binafsi ni mechanical na kuna siku ofisini hatukufanya kazi kwa electrical walichelewa kurepair motor tuliyoitegemea kufanyia cranking, Mda wa kazi wote tulikuwepo lakini hawakuwa wanadeal na mechanical issue bali electrical. By the way inatemea na mechanical ulionao wanapenda kufanya nini, binafsi najua mpaka electrical na IT maana ni vitu vinafundishwa katika mechanical. Sidhani kama electrical huwa mnafungua na injini za mitambo , hasa power generators.Soma Electrical...ina uwanja mpana...Mm ni Electrical...nnapofanyia kazi niko kitengo ambacho kuna mashine kubwa zina Umeme na zina ishu ya mechanical...Pia sisi kwny kitengo chetu tupo wa Electrical na wa Mecha pia wapo...Likitokea tatzo kama ni la mecha basi uwa tunaenda wotee haijalish ww electrical au mecha....Likitokea tatzo la Electrical..watu wa mecha wanakataa kwena wanasema kazi za umeme hawaziezii...ukisoma electrical unaeza pata kazi ad sehem yenye mitambo
Electromechanical utakuwa nusu nusu piga Electrical na Electronics.Unaweza soma kimoja kwa diploma then kwenye degree ukachukua electromechanical. Unakua unepiga ndege 2 kwa jiwe moja.
Hiyo kazi haitolewi tena hapa Tz. Last time ilikua pale jalalani ila siku hizi haipo tena.Electromechanical utakuwa nusu nusu piga Electrical na Electronics.
Vijana wanatamani gesi na mafuta😋😋😋😋😋😋😋😋😋Dogo, zote ni nzui.
ila kwa sababu wengine kama mimi tunapenda mambo ya power systems and high voltages nakushauri soma electrical engineering
Hii mkuu umetupanga, bila shaka unafanya power generation plant. Ishu ya mechanical sio rahisi electrical kuhusika labda kama tatizo ni electrical in nature na mechanical wanategemea hilo liwe solved ndio waendelee. Binafsi ni mechanical na kuna siku ofisini hatukufanya kazi kwa electrical walichelewa kurepair motor tuliyoitegemea kufanyia cranking, Mda wa kazi wote tulikuwepo lakini hawakuwa wanadeal na mechanical issue bali electrical. By the way inatemea na mechanical ulionao wanapenda kufanya nini, binafsi najua mpaka electrical na IT maana ni vitu vinafundishwa katika mechanical. Sidhani kama electrical huwa mnafungua na injini za mitambo , hasa power generators.
Sipo uko unapodhan nipo ata kdgo...na kwa kazi zangu nazofanya tukisimama mm na ww nafkir kwa appearance na ma overrall yetu tu jinsi yalivo watu wanaeza sema mm ndo mechanical na ww ndo electrical...NB nliongea kutokana na experience ya sehem nayofanyia kazi....Tunadeal sana na ku assemble na disassemble Engine...Generator kubwa za machine....na mifumo ya hydraulic...pamoja na mastreering knucke....Sehem nayofanyia kaz ime base sana kwny kaz za Mecha na kuna machine ambazo ata ww nikikulete unakuwa hujawah zufanyia ata kaz..
Zote zinafaa,Cha msingi unazo akili,huku mtaani Kuna mech engineer wanafanya carpentry,wengine Wana Fanya electrical power analysis na wanaopiga pesa,Kuna mech engineer wanafanya music production na mambo ya video,uwanja ni mpana sana.Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
Ha ha haaa, umepanic braza, mambo ya kusimama na appearance zinatoka wapi tena. Ukiona unajua sana kitu au ujuzi amini kuna amejua kabla yako na huwezi jua kama unamzidi au anakuzidi. All in all mimi ni mechanical engineer ambaye ninadeal mpaka programming ya driver za HMI, naijua injini yoyote iliyopo duniani, napenetrate any IT infrastrufture, Na ukikutana na mimi hata huwezi nizania, sina time na show off ila wanaonijua wanajua kazi yangu.Sipo uko unapodhan nipo ata kdgo...na kwa kazi zangu nazofanya tukisimama mm na ww nafkir kwa appearance na ma overrall yetu tu jinsi yalivo watu wanaeza sema mm ndo mechanical na ww ndo electrical...NB nliongea kutokana na experience ya sehem nayofanyia kaz
Ha ha haaa, umepanic braza, mambo ya kusimama na appearance zinatoka wapi tena. Ukiona unajua sana kitu au ujuzi amini kuna amejua kabla yako na huwezi jua kama unamzidi au anakuzidi. All in all mimi ni mechanical engineer ambaye ninadeal mpaka programming ya driver za HMI, naijua injini yoyote iliyopo duniani, napenetrate any IT infrastrufture, Na ukikutana na mimi hata huwezi nizania, sina time na show off ila wanaonijua wanajua kazi yangu.
Nimekupata mhandisi, pamoja sana, tuendelee na ujenzi wa taifa.Yaani Ata hujanielewa Eng. umewaz kwingine kabisaa yn....point yangu ni kwamba mm na ww tukisimama...nlikuwa namaana kuwa mm ntaonekana mech kwasbbu ya nature ya kaz ninayo ifanya yaani ni mchafuu zaidiiii hyo ndo ilikuwa point yangu ila sikuwa na maana ya kujikweza na samahan kama umenielewa vbya
Dah,,,, Dogo ushafeli tayari.... Mtu hatafuti kozi ya kusoma.. ila kozi ndiyo inatafuta mtu wa kusomea😂😂😂Nilikuwa naomba msaada kati ya Mechanical na electrical engineering ipi nisomehe kwa ngazi ya diploma ambayo Ina uwanja Mpana wa ajira au kujiajiri kwa sasa??