Kati ya Mechanical na Electrical Engineering ipi ina uwanja mpana kwa ajira kwa sasa?

Hii mkuu umetupanga, bila shaka unafanya power generation plant. Ishu ya mechanical sio rahisi electrical kuhusika labda kama tatizo ni electrical in nature na mechanical wanategemea hilo liwe solved ndio waendelee. Binafsi ni mechanical na kuna siku ofisini hatukufanya kazi kwa electrical walichelewa kurepair motor tuliyoitegemea kufanyia cranking, Mda wa kazi wote tulikuwepo lakini hawakuwa wanadeal na mechanical issue bali electrical. By the way inatemea na mechanical ulionao wanapenda kufanya nini, binafsi najua mpaka electrical na IT maana ni vitu vinafundishwa katika mechanical. Sidhani kama electrical huwa mnafungua na injini za mitambo , hasa power generators.
 
Unaweza soma kimoja kwa diploma then kwenye degree ukachukua electromechanical. Unakua unepiga ndege 2 kwa jiwe moja.
Electromechanical utakuwa nusu nusu piga Electrical na Electronics.
 
Dogo, zote ni nzui.

ila kwa sababu wengine kama mimi tunapenda mambo ya power systems and high voltages nakushauri soma electrical engineering
 
Nyie ndo mnaendaga kujaza vikaratasi ukutani mkitafta mtu wa kubadilishana kozi
 

Sipo uko unapodhan nipo ata kdgo...na kwa kazi zangu nazofanya tukisimama mm na ww nafkir kwa appearance na ma overrall yetu tu jinsi yalivo watu wanaeza sema mm ndo mechanical na ww ndo electrical...NB nliongea kutokana na experience ya sehem nayofanyia kaz
 
 
Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
Zote zinafaa,Cha msingi unazo akili,huku mtaani Kuna mech engineer wanafanya carpentry,wengine Wana Fanya electrical power analysis na wanaopiga pesa,Kuna mech engineer wanafanya music production na mambo ya video,uwanja ni mpana sana.
 
Ha ha haaa, umepanic braza, mambo ya kusimama na appearance zinatoka wapi tena. Ukiona unajua sana kitu au ujuzi amini kuna amejua kabla yako na huwezi jua kama unamzidi au anakuzidi. All in all mimi ni mechanical engineer ambaye ninadeal mpaka programming ya driver za HMI, naijua injini yoyote iliyopo duniani, napenetrate any IT infrastrufture, Na ukikutana na mimi hata huwezi nizania, sina time na show off ila wanaonijua wanajua kazi yangu.
 

Yaani Ata hujanielewa Eng. umewaz kwingine kabisaa yn....point yangu ni kwamba mm na ww tukisimama...nlikuwa namaana kuwa mm ntaonekana mech kwasbbu ya nature ya kaz ninayo ifanya yaani ni mchafuu zaidiiii hyo ndo ilikuwa point yangu ila sikuwa na maana ya kujikweza na samahan kama umenielewa vbya
 
Nimekupata mhandisi, pamoja sana, tuendelee na ujenzi wa taifa.
 
Nilikuwa naomba msaada kati ya Mechanical na electrical engineering ipi nisomehe kwa ngazi ya diploma ambayo Ina uwanja Mpana wa ajira au kujiajiri kwa sasa??
Dah,,,, Dogo ushafeli tayari.... Mtu hatafuti kozi ya kusoma.. ila kozi ndiyo inatafuta mtu wa kusomea😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…