Kati ya Mianzini, Majengo, Makao mapya, ni sehemu ipi nzuri ya kupanga Arusha?

Joined
Apr 30, 2021
Posts
49
Reaction score
28
Naimani nimesomeka hapo, Kwanini nimechangua hayo maeneo kwasababu niwe karibu na kazini ili nisiwe natumia nauli....naweza nikapata Single Cha Bila choo ndani kuanzia Elfu Arobaini(40). Na chenye geti ndani kwaajili ya usalama zaidi.
 
Kwanza acha kuongelea umasikini wa kukaa mjini, ishi mbali na mjini akili ikae sawa, 😃!.

Pili unaweka picha ya kukimbia ili iweje, wkt ulichoandika havishabiiani unataka tukuelewe vipi au ni utoto?.

Tatu kaishi majengo utajifunza mambo mengi ya maisha kutoka kwa vijana wa mitaa hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…