DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 318
- 1,597
Amka uende kanisan
Mmh hiki kisingizio shetani anatamba nacho, huchomoki hapa lol😄😄Leo sina sadaka mkuu
Unapotoa muda wa kucomment nyuzi za siasaHivi mnapataga wapi muda wa kusoma story ndefu vile?
Huwa inatokea sometimes tunaamka una buku tuu. sasa naendaje kanisaniMmh Hiki kisingizio shetani anatamba nacho, huchomoki hapa lol😄😄
How I met my wife iheshimiwe tafadhaliWakuu wazee wa mikasa ya kweli ya kimapenzi.
Kuna story mbili kali za ukweli za mapenzi zimewahi trend hapa jf. Ya kwanza ni ‘how i met my wife’ na hii inayotrend sasa hivi ya khumbu wa south africa ya mtu mzima @konda msafi
Kwa waliozisoma zote ipi ni kali.
Me binafsi hizi ndizo story kali za muda wote humu jf. Ya kwanza ni ya kigakoyo then inafata hii ya khumbu wa durban.
Nmetaman nizitagi nyuzi zile ila ndo vile sasa siwezi
Itag hapa mkuuStory zote zimeletwa na watu wanaojua kupanga visa na matukio katika mtiririko ambao hamchoshi msomaji.. Ila HOW I MET MY WIFE ni kali zaidi.