Kati ya mikasa hii ya kweli, upi ni mkasa bora kwako?

Kati ya mikasa hii ya kweli, upi ni mkasa bora kwako?

DAVID PALMER

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2020
Posts
318
Reaction score
1,597
Wakuu wazee wa mikasa ya kweli ya kimapenzi.

Kuna story mbili kali za ukweli za mapenzi zimewahi trend hapa JF. Ya kwanza ni ‘how i met my wife’ na hii inayotrend sasa hivi ya khumbu wa South Africa ya mtu mzima @ Konda Msafi

Kwa waliozisoma zote ipi ni kali.

Me binafsi hizi ndizo story kali za muda wote humu JF. Ya kwanza ni ya kigakoyo then inafata hii ya Khumbu wa Durban.

Nimetaman nizitagi nyuzi zile ila ndo vile sasa siwezi
 
Hivi mnapataga wapi muda wa kusoma story ndefu vile?
 
Hii story ya kumbu ukiwa umefika South ndio unaiyona nzuri zaid akitaja maeneo kama unayaona kweri miss you Durban na Pretoria
 
Mkasa bora kwangu ni wa bei za mafuta kupanda
 
Sijasoma zote ila hiyo Durban sjui kufanyaje fanyaje itakuwa inavutia ila siyo bora
 
Wakuu wazee wa mikasa ya kweli ya kimapenzi.

Kuna story mbili kali za ukweli za mapenzi zimewahi trend hapa jf. Ya kwanza ni ‘how i met my wife’ na hii inayotrend sasa hivi ya khumbu wa south africa ya mtu mzima @konda msafi

Kwa waliozisoma zote ipi ni kali.

Me binafsi hizi ndizo story kali za muda wote humu jf. Ya kwanza ni ya kigakoyo then inafata hii ya khumbu wa durban.

Nmetaman nizitagi nyuzi zile ila ndo vile sasa siwezi
How I met my wife iheshimiwe tafadhali
 
Back
Top Bottom