Kati ya Mitsubishi outlander roadest 2010 na subaru forester 2009/10 ipi nzuri zaidi???

Kati ya Mitsubishi outlander roadest 2010 na subaru forester 2009/10 ipi nzuri zaidi???

Joined
Sep 8, 2026
Posts
17
Reaction score
20
Wakuuu na wadau wa magarii kati ya outlander roadest 2010 na subaru forester ya 2009/10 ipi unashauri ninunue kwa matumizi ya safari ndefu na yenye uhakika wa kusafiri rough roads bila kuleta shida ya kuharibika kirahisi na pia 1. upande wa durability ipi inahimili mikimiki zaidi

2. bila kusahau upande wa maintanance ipi rahisi kuimantain na upatikanaji wa vifaa

3. Nipe experience upande wa fuel conaumption
 
Back
Top Bottom