Kati ya mme na mke nani muongo?

Kati ya mme na mke nani muongo?

Habari wanaJV!

View attachment 61316

Naleta kwenu!
kutokana na hii picha, hapo ngoma droo.
Lakini in general cases, mke anakuaga muongo zaidi kwenye kujitetea kwa sababu mara nyinyi wanawake hawana ubabe. Mme huwaga anatumia utemi zaidi ya uongo kwenye kujitetea akiwa ameshaharibu.
 
Back
Top Bottom