Kati ya mpangaji na mwenye nyumba, nani wa kumshtaki mwenzake hapa?

Kati ya mpangaji na mwenye nyumba, nani wa kumshtaki mwenzake hapa?

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Je, mwenye nyumba amshtaki mpangaji kwa kumharibia nyumba yake?

Au

Mpangaji amshtaki mwenye nyumba kwa kujenga ukuta wa mchongo na kusababisha Tv yake kuvunjika?

Toa maoni yako kitaalam zaidi.
FB_IMG_1694059064664.jpg
 
huo ukuta au ubao wa matangazo? mwenye hela ndio atashinda kesi.
 
Hasara hazikwepi ktk maisha mengine unapotezea tu maisha yasonge
 
Hakuna kesi hapo labda Kama Kuna Hela za kuchezea kuwapa police na hakimu
 
Kwani huyu jamaa hadi anatoboa ukuta aliona ni zege hiyo?
 
Mwenye nyumba lazima atashinda hiyo kesi Tena mapema Sana,,usiifananishe nyumba ya watu na vitu vya kipuzi
 
Back
Top Bottom