20 millions, maisha ya mshahara magumuu..Wakuu,
Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi
Utachagua kipi mdau?
Inategemea na akili yako. Kama una akili za watu wa pwani umekwisha bora ukaajiliwe tuUtachagua kipi mdau?
Mkuu kuna mtu uliwahi kumuona ana 20m halafu anatafuta ajira ya 700k kwa mwezi?Wakuu,
Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi
Utachagua kipi mdau?
Ukiwa na akili kuwekeza haswa ufugaji au biashara ....hutajuta 700k utatumwa maisha yako kudhalilishwa kila siku....ukiweza kufuga kiti motob au kuku 800 wa mayai na banda lake unatoboaaa.....kama una 20m njoo nikuandikie abc hadi z utoboee uwe na ekari hata 1 tuWakuu,
Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi
Utachagua kipi mdau?
Yule mnyambo wa Kyelwa ni nan broHujambo mkuu
Ni MimiYule mnyambo wa Kyelwa ni nan bro