The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Ok,kama hujiamini usiropoke mkuu.Ni Mimi
Nimerudi ID yangu ya Zamani
Baada ya kupokea PM za vitisho, niliogopa wasiojulikana wasinipoteze, Nina watoto wadogo wananitegemea
Sasa hasira zimewapoa nimerejea ID yangu na Sasa siandiki sana kukwaza upande wowote iwe siasa au sports
Mipango mingi sana mtumishDuuuh
Kabisa, mie naenda na mia saba elfu.eeeh mia saba izo ,wapi huko nitume na maombi
Kwann unaacha milion 20 za ghafla ukatafute laki 7 kweliKabisa, mie naenda na mia saba elfu.
Eti nipewe cash ml20 nipagawe mie aaakaaaKabisa, mie naenda na mia saba elfu.
Dah ss milion 20 si hela ndogo sn unapagawaje😄😁😀😂😆Eti nipewe cash ml20 nipagawe mie aaakaaa
Ndogo kwako mkuu,, sjawah hata kuiona mimi☹️Dah ss milion 20 si hela ndogo sn unapagawaje😄😁😀😂😆
Angalizo kwa wadau watakao changia mada wakae wakijua kwamba binadamu wengi wakipata hela nyingi akili zao za kutofuta pesa zina simama Hadi hapo zitakapoanza kupunguaWakuu,
Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi
Utachagua kipi mdau?
Naona wajumbe washaanza kulipwa baada ya kazi...Wakuu,
Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi
Utachagua kipi mdau?
kwakweli 😆😆😆Hapa Jamii forums kila mtu tajiri😅
Ukute hata hapo hana hata laki mfukoni