Dr-of-three-Phd
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 202
- 30
Haka ka-swali nimekutananako sehemu watu wakijadiriana na mabishano makubwa niakondoka bila kuapata majibu kwani mabishano yalizidi majibu, na kamuda kangu kuwepo hapo kalikuwa kameisha sasa naomba nisaidiwe kwani nilitamani kujua jibu pale kwenye kale kamjadara; je, hapa jamvini tunasemaje?
Kati ya Mume na Mke (wanandoa) ni nani anatakiwa amwombe mwezie unyumba, iwe mchana au usiku wamelala?
cheers
Kati ya Mume na Mke (wanandoa) ni nani anatakiwa amwombe mwezie unyumba, iwe mchana au usiku wamelala?
cheers