Kati ya mume na mke (wanandoa)

Kati ya mume na mke (wanandoa)

Dr-of-three-Phd

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
202
Reaction score
30
Haka ka-swali nimekutananako sehemu watu wakijadiriana na mabishano makubwa niakondoka bila kuapata majibu kwani mabishano yalizidi majibu, na kamuda kangu kuwepo hapo kalikuwa kameisha sasa naomba nisaidiwe kwani nilitamani kujua jibu pale kwenye kale kamjadara; je, hapa jamvini tunasemaje?


Kati ya Mume na Mke (wanandoa) ni nani anatakiwa amwombe mwezie unyumba, iwe mchana au usiku wamelala?


cheers
 
Wote,kila mmoja ana haki ya kuomba apewe anapokuwa na njaa!
 
hakuna kuombana sababu nyote ni wanandoa yoyote anaweza akaanza na mwingine hana budi kumpatia kama sio mgonjwa au amechoka
 
aaaaaiiiii!!! ni dokta wa phd 3 unauliza hili swali.... umefuzu kitu gani????
 
Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane..... (1Kor 7:3-4).
 
Mkuu sheria ya ndoa yawataka wote walale uchi muda wote hususani nyakati za usiku, this means kwambo yeyote kati yao pale atakapojisikia ku'do amwombe mwenzake!
 
Mkuu wa PHD mbona swali liko nusu..Kuna aina nyingi za kuomba..Kwa maneno, kwa tabasamu, kwa kugusana wakati unalala, kwa perfume'..sasa si unajua..mwili umeumbwa na magnet..hizi dalili zikitokea ..hata kwa bahati mbaya..mizinga inakoki risasi na kunakuwa hakuna msamaha..

In short..huwezi kupanga kuomba ..hii kitu inakuja "automatically" labda kama mnadanganyana...
 
Da! Sheria namba ngapi. Ina maana night dress ni za walio single tu. Kaazi kweli kweli. Akitoke mwizi au nyumba ikiungua ndio mkurupuke kama mlivyozaliwa mwache gumzo mtaani.

Mkuu sheria ya ndoa yawataka wote walale uchi muda wote hususani nyakati za usiku, this means kwambo yeyote kati yao pale atakapojisikia ku'do amwombe mwenzake!
 
Da! Sheria namba ngapi. Ina maana night dress ni za walio single tu. Kaazi kweli kweli. Akitoke mwizi au nyumba ikiungua ndio mkurupuke kama mlivyozaliwa mwache gumzo mtaani.

hahahahah lol! inabidi nguo zenu zisicheze mbali na mnapolala pindi zikihitajika kama ataingia mwizi au kutazuka moto. Wakati zile kelele za mwizi mwizi mwizi au moto moto moto zikiendelea viwalo vyako pia unaviweka mwili kwa speed kubwa sana 🙂
 
Back
Top Bottom