Dr-of-three-Phd
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 202
- 30
Nani anayesema hivyo? Mume au mke.....??Wewe niangusage tu, dhambi ni zako mwenyewe!
Kwishney!!Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane..... (1Kor 7:3-4).
Sina swali!Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane..... (1Kor 7:3-4).
we lizzy wewee.....!! Mmh hayaa....Hata mmoja asimwombe mwenzake...wakae tu kama dada na kaka!
Hata mmoja asimwombe mwenzake...wakae tu kama dada na kaka!
Mkuu sheria ya ndoa yawataka wote walale uchi muda wote hususani nyakati za usiku, this means kwambo yeyote kati yao pale atakapojisikia ku'do amwombe mwenzake!
Da! Sheria namba ngapi. Ina maana night dress ni za walio single tu. Kaazi kweli kweli. Akitoke mwizi au nyumba ikiungua ndio mkurupuke kama mlivyozaliwa mwache gumzo mtaani.
Sio lazima PhD yake iwe ya mapenzi!aaaaaiiiii!!! ni dokta wa phd 3 unauliza hili swali.... umefuzu kitu gani????