Kati ya mvua na jua unapenda nini....?

Kati ya mvua na jua unapenda nini....?

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,421
Reaction score
18,760
wadau tangu jana kila mtu analalamika oh mvua, oh mvua.... kipindi kile oh joto oh joto, sisi nini unapenda....? mvua
au jua ...?
Hebu tujadili......
wale wamobondeni karibuni pia ...
 
Vyote ni vizuri ila isiwe kwa wingi hadi kuwa karaha.
 
Binadamu huwa haturidhiki ila heri vyote viwepo kwa kiasi maana vikizidi ni tabu pia
 
wadau tangu jana kila mtu analalamika oh mvua, oh mvua.... kipindi kile oh joto oh joto, sisi nini unapenda....? mvua
au jua ...?
Hebu tujadili......
wale wamobondeni karibuni pia ...

Kabanga wa mabondeni saa hii...?sijui ?manake pale jangwani kwenye kile kituo cha BRT wamegeuza ndo nyumbani
 
Vyote ni vizuri lakini pale zinapozi hali ya kawaida vinakuwa ni tatizo kwa jamii
 
Mi napenda jua bhana...kazi zangu zinakwama kwa ajili ya mvua
 
Eti wanangu wa jamiiforum na wakubwa zangu wakuu wa JamiiForums Kati ya mvua na jua Bora nini hapa Tanzania? Mimi kwangu easy sana Bora jua Bora jua.
 
Ni sawa na mtu akuulize, kati ya moyo na ubongo bora kipi?
Au kati ya maini na mawashiwashi bora kipi?

Vyote ni muhimu na vina thamani sawa.

Umeelewa au niongeze sauti?
 
Kijana wa Jana , umesema kati ya moyo na ubongo kipi bora! kwangu bora ubongo , unasemaje?
 
Vipi kuhisu snow?


Napendelea vyote kwapamoja
 
Back
Top Bottom