Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Bora raia walioibiwa hela zao uwanjani mechi ikaahirishwa kinyemela walipwe, sawa!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ubongo bila moyo haujawa ubongo... Huo ubongo ili uendelee kuwa online lazima utegemee moyo kuupelekea damu yenye oksijeniKijana wa Jana , umesema kati ya moyo na ubongo kipi bora! kwangu bora ubongo , unasemaje?
Acha kutumia drugs wewe mchato! Utakufa kwenye mazingira ya kutatanishaBora raia walioibiwa hela zao uwanjani mechi ikaahirishwa kinyemela walipwe, sawa!???
🤣🤣🤣🤣Hilo swali alishalijibu Jay Moe zaidi ya miaka 15 iliyopita, au ulikuwa bado Litapwasi unalima maboga?
Utakula jotoo eeeeh au ndo kushindia ice cream za ukwaju ? Kila kitu kwa kiasi mkuuEti wanangu wa jamiiforum na wakubwa zangu wakuu wa jamiiforum Kati ya mvua na jua Bora nini hapa tz?
Mimi kwangu easy sana Bora jua Bora jua.
wewe kwako sawa maana si ndo unatoka Njedengwa mkuu kwenda kununua mizagazaga ya bosi!?Eti wanangu wa jamiiforum na wakubwa zangu wakuu wa jamiiforum Kati ya mvua na jua Bora nini hapa tz?
Mimi kwangu easy sana Bora jua Bora jua.
Ni sawa na mtu akuulize, kati ya moyo na ubongo bora kipi?
Au kati ya maini na mawashiwashi bora kipi?
Vyote ni muhimu na vina thamani sawa.
Umeelewa au niongeze sauti?
Jua ni bora zaidi..!Eti wanangu wa jamiiforum na wakubwa zangu wakuu wa jamiiforum Kati ya mvua na jua Bora nini hapa tz?
Mimi kwangu easy sana Bora jua Bora jua.
unaturudisha kwa Jay Mo hapo😊Eti wanangu wa jamiiforum na wakubwa zangu wakuu wa jamiiforum Kati ya mvua na jua Bora nini hapa Tanzania?
Mimi kwangu easy sana Bora jua Bora jua.