Kati ya mvua na jua unapenda nini....?

Bora raia walioibiwa hela zao uwanjani mechi ikaahirishwa kinyemela walipwe, sawa!???
 
Eti wanangu wa jamiiforum na wakubwa zangu wakuu wa jamiiforum Kati ya mvua na jua Bora nini hapa tz?
Mimi kwangu easy sana Bora jua Bora jua.
Utakula jotoo eeeeh au ndo kushindia ice cream za ukwaju ? Kila kitu kwa kiasi mkuu
 
Eti wanangu wa jamiiforum na wakubwa zangu wakuu wa jamiiforum Kati ya mvua na jua Bora nini hapa tz?
Mimi kwangu easy sana Bora jua Bora jua.
wewe kwako sawa maana si ndo unatoka Njedengwa mkuu kwenda kununua mizagazaga ya bosi!?
 
napenda lile biti linavyoanza (au kuisha) mse nge majani kapachika sauti ya mvua ikipiga mixer radi na ngurumo kmmmmk
 
Ni sawa na mtu akuulize, kati ya moyo na ubongo bora kipi?
Au kati ya maini na mawashiwashi bora kipi?

Vyote ni muhimu na vina thamani sawa.

Umeelewa au niongeze sauti?

Sunny days wouldn't be special, if it wasn't for rain,Joy wouldn't feel so good, if it wasn't for pain...50 cent many men(Wish Death).
 
Eti wanangu wa jamiiforum na wakubwa zangu wakuu wa jamiiforum Kati ya mvua na jua Bora nini hapa tz?
Mimi kwangu easy sana Bora jua Bora jua.
Jua ni bora zaidi..!

Mvua haiwezi kuwako bila jua, ila jua litakuepo hata kama mvua haipo.

Jua ndio chanzo kikuu cha nishati zote tunazozijua. Kuanzia mafuta(petroleum) makaa ya mawe, gesi asilia, kuni mpaka nguvu za kiume mkuu😃(Nguvu za viumbe hai).

Michakato yote inayotokea duniani kwa namna moja au nyingine, moja kwa moja au indirect😁huchangiwa na jua. Mfano upepo mawimbi mvua yenyewe ikiwemo.

Kwanamna hiyo likikosekana jua hakutakuwa na maisha duniani, labda telnolojia itumike.
 
Naomba unijibu , mtu akifa ni wakati ubongo unapoacha kufanya kazi au moyo unapoacha kufanya kazi . Kumbuka moyo unaweza kusimama kwa mda na bado uhai upo Ila ubongo ukiacha kufanya kazi ndio Basi tena. Kinachoarifu moyo kupiga mapigo ni ubongo.
 
Eti wanangu wa jamiiforum na wakubwa zangu wakuu wa jamiiforum Kati ya mvua na jua Bora nini hapa Tanzania?
Mimi kwangu easy sana Bora jua Bora jua.
unaturudisha kwa Jay Mo hapo😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…