Kati ya Mwalimu na Muhadhiri nani anastahili mshahara mkubwa?

Kati ya Mwalimu na Muhadhiri nani anastahili mshahara mkubwa?

UtdProfile_

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2021
Posts
255
Reaction score
314
Jamani Mimi bado mawazo na fikra zangu zimebakia kwenye suala la mishahara,

Kwa mfano nikianza na waalimu hivi Nani anastahiliii KULIPWA MSHAHARA MKUBWA Kati ya mwalimu wa SHULE ya msingi na lecturer wa chuo?
 
Mwalimu. Sababu ndiye anayetengeneza msingi wa elimu kwa mwanafunzi. Msingi bora ndio mafanikio bora kwa mwanafunzi.
 
Ndo hao ulio kua uki jitetea kwenye exam zao kwa maelezo mengi..watu bhana
Kwanguu mm naonaa mwalimu wa SHULE ya msingi anastahiliii KULIPWA MSHAHARA MKUBWA kulikoo lecturer
 
Lecturer ana uwezo wa kufundisha shule ya msingi ila huyo mwalimu hawezi kufundisha wanachuo.
So hapo unaona wametofautiana maarifa.
Wametofautiana levels za elimu, sijui umewaza nini mpaka kuleta huu uzi mkuu!!
 
Normally, unapokuja kujibu hojaa lazma ufikirie kwanza
 
Normally, unapokuja kujibu hojaa lazma ufikirie kwanza
Wewe huna majibu. Umepewa majibu huyataki ilhali hakuna hoja yoyote uliyotoa hapo juu.
We kijana una tatizo mahala, halafu ndo unataka ulipwe zaidi ya lecturer wa chuo.

Na hii akili yako iongeze kwenye tofauti kati yenu.
 
Back
Top Bottom