Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 Dec 7, 2011 #21 kongosho said: Yani mi limbukeni? Mbona mna wivu mikubwa ivo?! Click to expand... Mi nnachojua ni kwamba mtu kujifanya yeye ni zaidi ya alivyo ni ulimbukeni.Sijui kama wewe ni limbukeni.
kongosho said: Yani mi limbukeni? Mbona mna wivu mikubwa ivo?! Click to expand... Mi nnachojua ni kwamba mtu kujifanya yeye ni zaidi ya alivyo ni ulimbukeni.Sijui kama wewe ni limbukeni.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Dec 7, 2011 #22 Nimemuomba jirani yangu Mr.Rock anipeleke Miami Beach hunijui sikujui achana na mimi - Kongosho(nimeamua kujimilikisha na hii) Lizzy said: Mi nnachojua ni kwamba mtu kujifanya yeye ni zaidi ya alivyo ni ulimbukeni.Sijui kama wewe ni limbukeni. Click to expand...
Nimemuomba jirani yangu Mr.Rock anipeleke Miami Beach hunijui sikujui achana na mimi - Kongosho(nimeamua kujimilikisha na hii) Lizzy said: Mi nnachojua ni kwamba mtu kujifanya yeye ni zaidi ya alivyo ni ulimbukeni.Sijui kama wewe ni limbukeni. Click to expand...
K khalidfundi Member Joined Dec 3, 2011 Posts 15 Reaction score 1 Dec 8, 2011 #23 Watu wanalazimika kuji-tune hivyo kulingana na mitazamo au swaga za hao wanaotaka kuwa-win,but wakifanikiwa dagaa mwanzo mwisho,some thing like tha.
Watu wanalazimika kuji-tune hivyo kulingana na mitazamo au swaga za hao wanaotaka kuwa-win,but wakifanikiwa dagaa mwanzo mwisho,some thing like tha.
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,562 Dec 8, 2011 #24 Ukimgundua tu fasta ni kumchana live na kupiga chini. Kuhusu nani zaid hapo pagumu wote walewale...................sio kwenu tuuu hata kwetu waaapoooo
Ukimgundua tu fasta ni kumchana live na kupiga chini. Kuhusu nani zaid hapo pagumu wote walewale...................sio kwenu tuuu hata kwetu waaapoooo