kati ya mwanamke na mwanaume nani.......

kati ya mwanamke na mwanaume nani.......

Nimemuomba jirani yangu Mr.Rock anipeleke Miami Beach

hunijui sikujui achana na mimi - Kongosho(nimeamua kujimilikisha na hii)

Mi nnachojua ni kwamba mtu kujifanya yeye ni zaidi ya alivyo ni ulimbukeni.Sijui kama wewe ni limbukeni.
 
Watu wanalazimika kuji-tune hivyo kulingana na mitazamo au swaga za hao wanaotaka kuwa-win,but wakifanikiwa dagaa mwanzo mwisho,some thing like tha.
 
Ukimgundua tu fasta ni kumchana live na kupiga chini. Kuhusu nani zaid hapo pagumu wote walewale...................sio kwenu tuuu hata kwetu waaapoooo
 
Back
Top Bottom