kati ya mwanamke na mwanaume nani.......

kati ya mwanamke na mwanaume nani.......

driller

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
1,116
Reaction score
246
jamani hivi unajua mara nyingi ninajiuliza hili swali nashindwa kuelewa ni kwanini wakati watu wanakua wanatokeana wanakua wanaishi life ambalo ni artificial.....! kwanini wasiwe wanaishi maisha ambayo ni yao kila siku..! utakuta mtu anataka kuonekana yeye kazoea kwenda kempiski kila weekend eti pametulia..! unakuja kugundua ukweli wakati watu mmekaa kwenye love kwa mda mrefu...! ndo unagundua kumbe huyu dada alikua anajisifia tu kumbe hakuna kitu...! sitaki kum offend mtu ilaaaa!!!... nilikua ninauliza hiviiii!!! kati ya mwanamke na mwanaume ni wakina nani zaidi wanaishi artificial life wakiwa wanaanza kupata wapenzi..!
 
Unafikiri watakujibu
Life artficial sio mpango kabisa
Ishi maisha ambayo ni yako na wala sio ya kuiga au kuwaangalia fulani na fulani wanaishi vipi
mambo ya kujiweka high class kumbe mwenzangu na mimi tunabanana uswahilini sio issue kabisa
 
Afu ujue mie out ya kwanza huwa ni Miami Beach

Yaani wewe nitakupeleka pale chako ni chako manzese au sana sana nimekutunuku rose garden ukapambane na mabar maid ambao wanajua kuchakachua bill
 
Wanafunzi wa vyuoni ndo wana hizo mambo za kujifanya bab kubwa, ngoja atoke hapo akutane na life la kujitegemea chini ya mkwer'e, anapauka ananyoooooka kujishebedua mashauzi yote kwishney
 
Mi nadhan,wengi wanaopenda kujiweka matawi huwa wanaiga kutoka kwa watu wao wanao wazunguka hususan marafiki..hiyo haijalishi mwanamke au mwanaume..na hiyo sio katika nyanja ya mitoko tu,hata kwenye mengine..mbona watu kibao wanaishi kwenye nyumba za kupanga (bonge la jumba)kwa kutegemea kulipiwa na jamaa ili mradi tu yaaani..au jamaa anaendesha gari la mwana kisha anamwambia beibe la kwake,siku akiwa hana basi atasema lipo garage au bro kamuazima one time..
 
Mi ukiingia anga zangu lazima nikuzululishe sana kwa miguu, si mnajua mzee mzima sina mkoko hadi leo!!!

iko wima hiyo...
nimeipenda, hakuna 7bu ya kuigiza maisha inaatakiwa uishi uwezavyo...
 
Wanafunzi wa vyuoni ndo wana hizo mambo za kujifanya bab kubwa, ngoja atoke hapo akutane na life la kujitegemea chini ya mkwer'e, anapauka ananyoooooka kujishebedua mashauzi yote kwishney

hahaaaa asee umesema kweli anakua anaona yale aliyokua anayawaza kua kweli ni ndoto..!
 
Kweli bana! wanatuharibia hata sisi maselebriti wa ukweli tunaonekana ndo wale wale tu. Nazani hii iingizwe kwenye katiba mpya
 
Mi nadhan,wengi wanaopenda kujiweka matawi huwa wanaiga kutoka kwa watu wao wanao wazunguka hususan marafiki..hiyo haijalishi mwanamke au mwanaume..na hiyo sio katika nyanja ya mitoko tu,hata kwenye mengine..mbona watu kibao wanaishi kwenye nyumba za kupanga (bonge la jumba)kwa kutegemea kulipiwa na jamaa ili mradi tu yaaani..au jamaa anaendesha gari la mwana kisha anamwambia beibe la kwake,siku akiwa hana basi atasema lipo garage au bro kamuazima one time..

Na hapo ndo matatizo yanapoanzia kwenye mahusiano, kwani kuna shida gani to be your self? Kama huna ni huna tu.
 
Lini tunaenda Rose Garden, ili nile dili na mabamedi wachakachue hizo bills

Yaani wewe nitakupeleka pale chako ni chako manzese au sana sana nimekutunuku rose garden ukapambane na mabar maid ambao wanajua kuchakachua bill
 
Back
Top Bottom