Jerry Farms JF-Expert Member Joined Jul 18, 2022 Posts 202 Reaction score 167 Sep 8, 2023 #1 Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
Mwana Taaluma JF-Expert Member Joined Oct 21, 2019 Posts 705 Reaction score 1,662 Sep 8, 2023 #2 Sijakusikia vizuri umesema? Apewe kipaumbele nanani?. Wakati maamuzi ya wananchi hayasikilizwi. Huku kwetu Bora liendetu, kiongozi akichaguliwa anatia Pini kujilinda ufedhuli wake. Wao wapo kwaajili Yao sio kwaajili yetu. Stupid readership
Sijakusikia vizuri umesema? Apewe kipaumbele nanani?. Wakati maamuzi ya wananchi hayasikilizwi. Huku kwetu Bora liendetu, kiongozi akichaguliwa anatia Pini kujilinda ufedhuli wake. Wao wapo kwaajili Yao sio kwaajili yetu. Stupid readership