Kati ya Nape na Kolimba, nani ametoa kauli hatari zaidi kwa chama cha CCM?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Marehemu Horace Kolimba: CCM imepoteza dira.

Nape: Chama kina wenyewe

Tukumbuke hawa wamekuwa viongozi wakubwa tu ndani ya CCM hivyo kauli zao sio za kuchulia mzaha.

Japo Kolimba aliongea ukweli, tunasikia aliitwa kujieleza; je, Nape nae hastahili kuitwa na chama chake ili ajieleze?
 
IMG_20211211_151908.jpg
 
kauli ya Nape inakibwagizo kabisa cha wimbo, niliwahi msikia Kikwete akiomba apigiwe kwa kusema lete mambo, ngoma ikaachiwa ya ccm ina wenyewe.
 
Back
Top Bottom