Marehemu Horace Kolimba: CCM imepoteza dira.
Nape: Chama kina wenyewe
Tukumbuke hawa wamekuwa viongozi wakubwa tu ndani ya CCM hivyo kauli zao sio za kuchulia mzaha.
Japo Kolimba aliongea ukweli, tunasikia aliitwa kujieleza; je, Nape nae hastahili kuitwa na chama chake ili ajieleze?