Kati ya ndugu wa damu au asiye wa damu yupi wa kushirikiana nae ktk ujasiriamali

Kama ndugu anawekeza na yeye nusu ya mtaji sawa
Ila kumuajiri na hajawekeza hata senti, hapana huyo ataleta matatizo tu
Ndugu ni wa kusaidia lakini kwenye biashara labda kama ni ya familia toka enzi
 
Ovyo kweli kweli undugu lawama sana.
Haya mambo hayana formula maalum. Japo nakubali kuwa ndugu wengi huwa na kawaida ya kubweteka, lakini kuna familia zenye ndugu wazuri sana sana na ni waaminifu. Kwa mfano mimi ndugu zangu wote wa kuzaliwa naweza kuwaamini wakati wowote. Tumebahatika sana kwenye kuaminiana kutokana na malezi tuliyopata.
 
Kwakweli
 
Kama wa damu basi awe yule ambaye ni una mmudu hata vibao unaweza kumuweka...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…