Kati ya ndugu wa damu au asiye wa damu yupi wa kushirikiana nae ktk ujasiriamali

Haya mambo hayana formula maalum. Japo nakubali kuwa ndugu wengi huwa na kawaida ya kubweteka, lakini kuna familia zenye ndugu wazuri sana sana na ni waaminifu. Kwa mfano mimi ndugu zangu wote wa kuzaliwa naweza kuwaamini wakati wowote. Tumebahatika sana kwenye kuaminiana kutokana na malezi tuliyopata.
kama mmekulia kwenye malezi mazuri yaliyojenga heshima, uchapakazi na uaminifu ni rahisi kuweza kushirikiana ila tofauti na hapo ni ngumu mno.
 
Haijalishi utaajiri ndugu au mtu baki unachotakiwa kwanza andaa system nzuri ya utendaji kazi kama vile ripoti ya mauzo, mapato na matumizi n.k ili yeyote atakayekuja kufanya biashara afuate tofauti na hapo utalalamika kuibiwa kila siku.
 
UKIHITAJI MTU BAKI NIPO HAPA MKUU,, NDUGU LAWAMA TU BORA UNICHUKUE MIMI HATUFAHAMIANI KABISA......
 
Haijalishi utaajiri ndugu au mtu baki unachotakiwa kwanza andaa system nzuri ya utendaji kazi kama vile ripoti ya mauzo, mapato na matumizi n.k ili yeyote atakayekuja kufanya biashara afuate tofauti na hapo utalalamika kuibiwa kila siku.
Kwa bidhaa ndogo ndogo km pipi,mafuta vibaba na vikoLokolo vingne nawezaje kutengeza huo mfumo?
 
kama mmekulia kwenye malezi mazuri yaliyojenga heshima, uchapakazi na uaminifu ni rahisi kuweza kushirikiana ila tofauti na hapo ni ngumu mno.
Hata mm ndugu zang niko nao vizuri na tunahaminiana sana changamoto ni kuwa mimi ndo wa mwisho nao washabanwa na majukum mengn na tumetawanyika kimakazi sasa hao kushilikiana nao ni ngumu laba kimawazo
 
Shirikiana nao kwa jambo unaloona wataweza likafanilkiwa.
 
Back
Top Bottom