Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Ni kweli spea za nissan ni gharama ila ukifunga umefunga...hizi plug nilifunga August 2016 nimezitoa mwezi uliopita November 2018...zimepiga miaka miwili...na ninezitoa huku fundi akilalamika mbona bado zinadai[emoji3]Mkuu Bila bila
Sitofautiana sana na wewe, ni jambo lililo wazi kwamba spea za Nissan ni bei ya juu tofauti na Toyota.
Sasa kama Plug original za Nissan NGK zinauzwa elfu 35 kwa moja wakati za Toyota zinauzwa elfu 6 - 10 Kwa moja kwa nini mtu asikwambie Nissan ni gari mbaya.??
Ila kwa upande wangu nikaona inatosha na zimesharudisha mpaka chenchi.[emoji23]