Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls


Hayo sasa wewe uka google au consult dealer, hapa hakuna engineer anayetoka katika viwanda hivyo husika, JF sio chuo uje upate mpaka conductivity ya waya wa earth wa RR vs Nissan au Synchronizer za gear box ya Nissan vs Toyota!!!! Au ukute maelezo ya steering rod versus tech ya sensor on steering box!! Mbona huulizi juu ya booster ya RR versus Gas susp ya VX???!!
Wanaopita hapa wanachukua dondoo mengine kila mtu anajiongeza, ukitaka zaid chuo cha usafirishaji panakuhusu mkuu au UD mlimani iko kitengo!!!!!
Automob engineering vik vyuo mtu mzima join uje ufungue darasa!!

We mtu mzima tuache watoto hii ndio pleasure yetu.
 

Nadhani hujanielewa mkuu, soma comment yangu vizuri, sijacompare vx na Subaru, sielewi kwa nini umekua mgumu kunielewa
 
Last edited by a moderator:
mm nashukuru kuna kitu nimejifunza hapa.....nikifikia uwezo wa kununua gari nadhani nitakuwa na maamuzi sahihi.
 

VX V8 imejengwa special kwa ajili ya mazingira ya afrika.

RR imeundwa special kwa ajili ya luxury but remind u its the beast. Na wengi wanaoimiliki ni wale wenye pesa na hawaitumii special kwa ajili ya kazi kama za VX
 

Hapo tungeweka vX V8, RR and Nissan. Ngoja nitafute clips
 
wakuu naona sasa ni wakati muafaka kupata jibu sahihi na stahiki ni ipi suv best kati ya toyota vx v8 ya petrol kilimo kwanza na RR maana naona hapa ndio zimepigiwa sana upatu.

kwakuwa hapa kuna watu wenye uelewa hasa wa haya mambo kiufundi tungeomba mtuchambulie hasa kwa kuzilinganisha kuanzia kwenye engine kwanini nyingine ni bora zaidi ya nyingine??aina ya technologia na systerm zilizomo.

kisha mnashuka kwenye gear box kwa kuzifananisha na kuipata ipi ni bora na zaidi ya nyingine na kwanini??

baada ya hapo kwenye body nazani zikichambuliwa hivyo tutapata hitimisho ipi ni suv bora zaidi ya nyingine.

usichangie na kuishabikia gari kwa kungalia mazingira ya umasikini wa nchi yetu.hapo hatutaweza pata jibu sahihi.
 


Uzi umeletwa hapa kila mtu achangie anachoona yeye anaweza, hakuna restrictions. Na kila mtu anachangia kutokana na uelewa wake.

Kama wewe mtaalamu, leta nondo.
 







 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:

Haya nadhani tungeanzia hapa.

Wataalamu wa magari naomba waje tuanze kujadili kufuatana na muongozo wa mkuu LEGE

C.C MANI RRONDO OLESAIDIMU Kaizer grafani11
 
Last edited by a moderator:

inategemeana na a ina ya Nissan au engine type MF Nissan patrol grx petrol engine Ina kitu kinaitwa auto drive yaan penye mlima ndobinaongeza mwendo...point hapa ni kuwa Gari yoyote ya diesel isiyo na turbo lazima isinzie mliman tofauti na petrol engine
 
Uzi umeletwa hapa kila mtu achangie anachoona yeye anaweza, hakuna restrictions. Na kila mtu anachangia kutokana na uelewa wake.Kama wewe mtaalamu, leta nondo.
By newazz

Hii mada naona ni kama, watoto magari yanapita halafu wanaulizana , lipi zuri.
Bulldog si wote wanaojua clutch pedal ina kazi gani, tena uwaletee Automatic
Ukiwaona abiria wanamsifia dreva ndani ya basi wakati wengine wao wanapandisha hasira ndio km kwenye uzi huu.
 

Mkuu hapo mimi nilikuwa nalinganisha Diesel kwa Diesel na petrol kwa petrol and not otherwise.

Tiba
 
kwenye video inayopambanisha rr, land cruiser na merc mbona hio VX ndio imestruggle kuliko rr??

Well nimeangalia clips nyingi kuhusu RR ikiwa offroad. Aisee ni monster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…