Mkuu tupo pamoja! Kwa range sipindui iwe ya kinduu au kike hayo ni makelele tu! Akipita Range Rover hata asiyejua gari lazima aitolee macho! Range tamu has a muungurumo wake,tatizo wabongo mnafikiri kila gari inatengenezwa kwa kuangalia njia zenu! Range si ya vjjn,hii gari kwake lami utaipenda! Kila mtengenezaji huwa anaangalia
soko lake ,sisi huku ubishi tu ,range kwa kwenda kwetu Tarime tena kijijini Nyarero sijui Nyamongo utaitesa tu. Range ni tamu kweli, naomba kiwanda kisife mpaka ninunue yangu!