Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Majibu yatakuwa kulingana na driving experience.
Mkuu Mimi ninapendelea Sana range sport,but siku za hivi karibuni nimejikuta naipenda zaidi Jaguar F-pace.
Ebu niambie kama huyo jaguar itanifaa ukizingatia nimeoa milimani Lushoto na kwetu Ni Bunda-Mara ingawa naishi Dar.So rikizo zitanihusu Sana.
 
Mkuu Mimi ninapendelea Sana range sport,but siku za hivi karibuni nimejikuta naipenda zaidi Jaguar F-pace.
Ebu niambie kama huyo jaguar itanifaa ukizingatia nimeoa milimani Lushoto na kwetu Ni Bunda-Mara ingawa naishi Dar.So rikizo zitanihusu Sana.
Sikushauri uchukue gari mpya hasa kama unaishi Afrika, Tanzania.

Zitakusumbua unapotaka kubadili spare parts ambazo itakuhitaji uingie gharama kununua kwa dealer au kuagiza toka nje.

Ila kama upo vizuri mfukoni, hakuna kinachoshindikana.
 
Ukweli mtupu.
 
Mbaya zaidi wengi wetu hatuwezi hata kununua vitz, acha tuendelee kuota.

Mkuu, kuna walioema kwamba..... if your dreams do not scare you are not big enough!

Waafrika tuwe positive. Kuishi vizuri ni haki ya kila mtu. Tuanze kwa kujikomboa na huu umasikini wa fikra. Unakuta mtu anakwambia..kununua gari mpya..spare ni bei gari..au kununua gari fulani inakunywa mafuta mengi nk. My point is; If you can afford it, go for it! Hakuna kitu kizuri kama kuendesha gari mpya! By the way kila kitu ni matunzo. Europe unakuta mtu ana gari ya 20 years. But it is still super strong.
 
Nilikuwa nauliza hii ni gari gain nashangaa mid ndoo naonekana kama mtoa Mazda sijui imekuwaje naomba unitoe muhusika wa mada
 

Mi nashindwa kuelewa awa jamaa wanalinganisha range rover na Toyota!?,..aseeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…